Sukye13
Senior Member
- Apr 20, 2020
- 163
- 169
Habari ya muda huu viongozi..
Poleni kwa mapambano yanayoendelea dhidi ya janga hili la ugonjwa hatari wa homa ya mapafu unaosababishwa na kirusi hatari cha corona. Tujitahdi kunawa mikono kwa maji tiririka na kutulia nyumbani.
Kwa miaka kadhaa kumeibuka dawa mbali mbali tukiachana na zile za awali zinazopatikana kwa wamasai, zote zikiaminika kuwa zinatibu upungufu wa nguvu za kiume.
Hapa nahitaji zaidi tujikite katika hili swala la matumizi ya Vumbi la Congo au Congo dust au Putururu.
Naomba wale ambao wamewahi kutumia iwe kwa miaka ya nyuma ambao wana uzoefu kati ya miaka miwili mitatu mpaka kumi na kwa wale watumiaji wapya..
Mje mtuelekeze jinsi ambavyo hili vumbi au hii dawa inafanya kazi pia mtuambie kama kwa kipindi hiko chote hakujawahi kutokea hitilafu yoyote katika utendaji kazi au kama kuna madhara yeyote basi mtueleze pia ili wale ambao tunasita kutumia tuache kabisa tusijaribu..
Pia kama kuna njia nyingine yoyote ambayo ni nzuri umewahi kutumia na umeona ina manufaa basi usisite kushare nasi hapa ili tupate kuifahamu.
Lengo ni kupeana tahadhari na pia kupata go ahead kama kitu kina faida nyingi kuliko hasara tusisite kutumia..
Maana hali ni mbaya mtaani...