FAMM (AMTL) Co. walivyopeleka msaada wa kujikinga na Corona kwa Watoto wa Huruma

Afrika Yote

Member
Oct 25, 2019
9
3
Habari za mida huu, mapambano ha Corona yanaendeleaje huko?

Narudi kwenye point ya msingi hapa, nimekuja kugundua kuwa watu wengi wenye uwezo kidogo wa kujipatia mahitaji ya kila siku basi kwa namna moja au nyingine ni rahisi sana kusahau kwamba kuna watu wenye uhitaji wapo sehemu hivyo huwa na farijika sana ninapoona watu mbalimbali wanapoona umuhimu wa kuhudumia wahitaji.

Mfano wangu hapa kwa leo ni Kampuni ya FAMM ilivyoamua kuiga mfano wa wengine waliotangua kwa kupelekea watoto wa kituo cha Huruma mahitaji mbalimbali ya kujikinga na Corona.

Kongole kwao👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿

Naweka video hapa ili nanyi mjionee


 
Back
Top Bottom