Msaada naomba kujuzwa ofisi za NACTE zinapopatikana kwa mkoa wa Mbeya

p2k

Senior Member
Sep 15, 2019
108
261
Natumaini mpo vizuri wakuu,

Naomba kuuliza ofisi za NACTE ziko sehemu gani hapa mkoani Mbeya?

Msaada please mimi ni mgeni mkoani hapa
 
Nenda stendi kuu ya Mbeya panaitwa soko matola nyuma ya stendi hapo ndipo panaofisi au uliza chuo cha utumishi wa umma mbeya kipo hapo hapo soko matola ukiuliza Ofisi za NACTE wanakuelekeza.
 
  • Thanks
Reactions: p2k
Back
Top Bottom