Msaada: Ni wapi nitapata records za ngoma za asili

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
6,191
13,616
Mzuka wanajamvi

Ni wapi nitapata records za ngoma za asili kwenye kanda CD na kadhalika ili nipate burudani ya kipekee nikiwa nimepumzika naendesha gari n. K hasa midundo ya Kizaramo, kimakonde na kimatumbi zinabamba balaa.

Pandemic Enthusiast
 
Koromijee nadhani huko utazipata mpaka utafurahi na roho yako... wewe tu.
 
Back
Top Bottom