Msaada: Mtoto anaumwa kifua kilichosababishwa na kunywa maji machafu wakati anazaliwa

boyaroni

New Member
Nov 25, 2018
1
0
Naomba msaada wa matibabu kwa mtoto anayesumbuliwa na kifua ambacho inasemekana kimesababishwa na kunywa maji machafu wakati anazaliwa, kwa sasa anaumri wa mwaka mmoja na miez 6 ameanza kusumbuliwa na kifua anashindwa hata kupumua hadi wampepelee ndo anapata nafuu. Naomba msaada kwa mwenye ufaham juu ya tatizo hili.
 
Naomba msaada wa matibabu kwa mtoto anayesumbuliwa na kifua ambacho inasemekana kimesababishwa na kunywa maji machafu wakati anazaliza, kwa sasa anaumri wa mwaka mmoja na miez 6 ameanza kusumbuliwa na kifua anashindwa hata kupumua hadi wampepelee ndo anapata nafuu. Naomba msaada kwa mwenye ufaham juu ya tatizo hili.

Ndugu huyo ni mtoto, nendeni hospitali mkatibiwe haraka sana, kuna tiba huwa wanapewa.
 
Back
Top Bottom