Mbunge wa Jimbo la Igunga, tunashukuru kwa msaada wa Uniform lakini hapana

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,571
2,000
Mheshimiwa Mbunge kulikuwa na haja gani ya kuweka muhuri mkubwa hivyo?

Nadhani hata usingeandika chochote wananchi wangekumbuka mchango wako

Kuweka hilo bango kwa sisi wengine ni fedheha, sawa tu na wale wanaotujengea matundu mawili ya choo na wanaandika kibao 'Donated by.....'

Gharama za kuweka huo muhuri ungeweza kuongeza mashati kadhaa.

1606893015803.png

IMG_20201202_101121_848.jpg
 
Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
2,941
2,000
Katika kutekeleza ahadi zake, mbunge wa Igunga, Nicholaus Ngassa kupitia CCM agawa mashati ya shule kwa wanafunzi

1606893118392.png
 
Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
12,089
2,000
Mheshimiwa Mbunge kulikuwa na haja gani ya kuweka muhuri mkubwa hivyo?

Nadhani hata usingeandika chochote wananchi wangekumbuka mchango wako

Kuweka hilo bango kwa sisi wengine ni fedheha, sawa tu na wale wanaotujengea matundu mawili ya choo na wanaandika kibao 'Donated by.....'

Gharama za kuweka huo muhuri ungeweza kuongeza mashati kadhaa
When helping the poor leave your camera at home.

You are not different from a politician if you cannot help the needy without your camera with you, thereby taking pictures of the event and broadcasting it to the world.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom