Habari wanajukwaa pendwa,
Naomba kuuliza wengi tunajua duniani kuna nchi zaidi ya mia tisini, je ni kigezo gani kilizingatiwa mpaka maamuzi makubwa kidunia kuamuliwa na G 7 pekee?
Je, kama wanazingatia uchumi Kwanini hawakuchukua kila bara angalau nchi tatu zenye uchumi wa juu kwa kuunda...