Msaada mwenye connection ya kazi za migodini

Sukari Mine

New Member
Dec 9, 2020
4
14
Habari zenu wanajamvi..!

Binafsi ni muhitimu wa ngazi ya shahada ya kwanza katika kada ya uchimanji madini (BsC in Mining Engineering) .

Ninaomba msaada kwa yeyote mwenye connection ya kazi katika migodi anisaidie.

Nina uzoefu katika usimamiaji wa crusher na plant .

Pia nina leseni ya ulipuaji (Blasting Licence) inayotolewa na wizara madini.

Ujuzi wa Softwares kama :Ms Word,Excel ,Power Point,Scada ,AutoCAD n.k.

Asanteni sana ,Mungu awabariki.
 
Andika maombi kampuni za madini PELEKA CV yako kampuni za madini wakikuhitaji watakuita ingia email zao submit
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom