Msaada please: Nahitaji title unique ya project

Quavohucho

JF-Expert Member
Aug 30, 2020
328
1,000
Kama ilivyo desturi kwa wanafunz wa 3rd year kwa upand wa Bsc compt science and IT kufanya final project, nilikuw naomb mnisaadie title unique nayowez kutengeza system or Android app inayowez kusolve challenge mbal mbl kweny jamii yet ,nimekuja kwn kupata kit unique.

Sababu Kuna system nying sana zimrshakamilishwa. Mf. Automation of electricity payment, school/ hospital management system, car parking system, title hiz zote nizakawaida Sana kwhy azikubali .so naomben msaada wa title unique. Nawasilisha
 
mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
1,731
2,000
Wanataasisi wanaambiwa kila mara wabadili mfumo wa elimu na mitaala lakini hawatilii maanani.

Ona huyu anaomba title ya project, it means tumekuwa tukianza mwaka wa kwanza bila kuambiwa/Kusisitizwa/kuandaliwa kufanya mambo yatakayokuwa na faida leo hii mifumo iko mingi, na watu hawaandaliwi kugundua mipya au hata kutambua mapungufu na kufanya marekebisho.

Taasisi husika mlitazame hili, halafu sio kila IT/CS/IS etc watengeneze mifumo kwani hakuna issue zingine mbona vyuo vyetu ni ajabu mno mpaka leo kila graduates anataka kulipuka na information management system?, Hakuna networking problems? Hakuna hacking na issue za security.

Tutaendelea kusifia elimu za magharibi.
 
Quavohucho

JF-Expert Member
Aug 30, 2020
328
1,000
ili iweje aisee ?
projekti za kichuo chuo hazina issue, hakuna kipya, hakuna jipya
chukua "school/ hospital management system," badili UI , upate 'digrii' yako
Inahitajika kitu unique kidgo his nilizomention apo hazikubaliki zimekuw more popular
 
Quavohucho

JF-Expert Member
Aug 30, 2020
328
1,000
Wanataasisi wanaambiwa kila mara wabadili mfumo wa elimu na mitaala lakini hawatilii maanani.

Ona huyu anaomba title ya project, it means tumekuwa tukianza mwaka wa kwanza bila kuambiwa/Kusisitizwa/kuandaliwa kufanya mambo yatakayokuwa na faida leo hii mifumo iko mingi, na watu hawaandaliwi kugundua mipya au hata kutambua mapungufu na kufanya marekebisho.

Taasisi husika mlitazame hili, halafu sio kila IT/CS/IS etc watengeneze mifumo kwani hakuna issue zingine mbona vyuo vyetu ni ajabu mno mpaka leo kila graduates anataka kulipuka na information management system?, Hakuna networking problems? Hakuna hacking na issue za security.

Tutaendelea kusifia elimu za magharibi.
Baadh ya vyuo saiz inahitajika kitu unique ili uwez kukamilisha project,
Changomot kubw ni miundombin,
Issue kam network miundombin bado msala vitu kama sensor,switchs, hubs ,Server ni Gharam mno .
Ndo maan weng tunaend kweny system na issue Kam hacking inanekan n ndog,

Now day kinachohitajk ni unique project hat Kam system iwe unique
Wanataasisi wanaambiwa kila mara wabadili mfumo wa elimu na mitaala lakini hawatilii maanani.

Ona huyu anaomba title ya project, it means tumekuwa tukianza mwaka wa kwanza bila kuambiwa/Kusisitizwa/kuandaliwa kufanya mambo yatakayokuwa na faida leo hii mifumo iko mingi, na watu hawaandaliwi kugundua mipya au hata kutambua mapungufu na kufanya marekebisho.

Taasisi husika mlitazame hili, halafu sio kila IT/CS/IS etc watengeneze mifumo kwani hakuna issue zingine mbona vyuo vyetu ni ajabu mno mpaka leo kila graduates anataka kulipuka na information management system?, Hakuna networking problems? Hakuna hacking na issue za security.

Tutaendelea kusifia elimu za magharibi.
 
mbongo_halisi

JF-Expert Member
Apr 16, 2010
5,164
2,000
Kama ilivyo desturi kwa wanafunz wa 3rd year kwa upand wa Bsc compt science and IT kufanya final project, nilikuw naomb mnisaadie title unique nayowez kutengeza system or Android app inayowez kusolve challenge mbal mbl kweny jamii yet ,nimekuja kwn kupata kit unique
Sabb Kuna system nying sana zimrshakamilishwa.
Mf. Automation of electricity payment, school/ hospital management system, car parking system, title hiz zote nizakawaida Sana kwhy azikubali .so naomben msaada wa title unique. Nawasilisha
Watanzania bwana, wewe si ni mwanafunzi...yaani uko mwaka wa 3 chuoni na hujuwi unafanya nini? Unaishi wapi nije nikushikishe adabu.
 
Mgumu04

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
1,838
2,000
Yani umepewa assignment ufanye na wewe umetuletea nyinyi ndio huwa mnafanya watu wa IT waonekane empty.

Kama tu project title zero hizo code utaandika vipi sasa?

Sina huo muda wakukupa title.
 
Chief

JF-Expert Member
Jun 5, 2006
2,513
2,000
Kama ilivyo desturi kwa wanafunz wa 3rd year kwa upand wa Bsc compt science and IT kufanya final project, nilikuw naomb mnisaadie title unique nayowez kutengeza system or Android app inayowez kusolve challenge mbal mbl kweny jamii yet ,nimekuja kwn kupata kit unique.

Sababu Kuna system nying sana zimrshakamilishwa. Mf. Automation of electricity payment, school/ hospital management system, car parking system, title hiz zote nizakawaida Sana kwhy azikubali .so naomben msaada wa title unique. Nawasilisha
Tengeneza remote control ya traffic light. Badala ya askari kusimama barabarani wakati wa heavy traffic kama asubuhi, ambao ni hatari kwake, yeye anakaa kibandani na ku pause/release mzunguko wa traffic lights.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom