Msaada kucheck TIN number yangu online

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
21,713
35,548
Nime-misplace Leseni yangu sasa nataka nipate TIN bila kwenye ofisi za TRA

Je, inawezekana?
 
Mzee mshahara ndo umesha ukosa january, jaribu kuingia kwenye wavuti ya tra online, creat acc ingiza namba ya NIDA na namba ya lesen kama upo kwenye data base utaweza kucheck status na kuprint tin certificate yako, ukishindwa nenda Office ya tra iliyokaribu nawe.
 
Mzee mshahara ndo umesha ukosa january, jaribu kuingia kwenye wavuti ya tra online, creat acc ingiza namba ya NIDA na namba ya lesen kama upo kwenye data base utaweza kucheck status na kuprint tin certificate yako, ukishindwa nenda Office ya tra iliyokaribu nawe,
Sio mambo ya mshahara, kwanza waajiri hawana maelekezo ya UTUMISHI so salary kama kawa
 
Tuma screen shot tukusaidie ulipo kwama ila najua hakuna huduma ya kujua tin ninayotumia
Tuma screen shot tukusaidie ulipo kwama ila najua hakuna huduma ya kujua tin
natumia UC brouser nikiingia TRA wanalazimisha ni-update crome
UCScreenshot20201208135825.png
 
Back
Top Bottom