Msaada kwa mwana JF ambaye yuko Nairobi

hp4510

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,446
6,311
Naomba msaada kwa mwana JF yoyote ambae yuko Nairobi

Kuna marafiki zangu wanatoka US wanataka kukaa Nairobi for 1 week. Sasa wanataka hotel au lodge ambayo ni safe kwao.

Msaada ambao naomba ni kama kuna mwana JF ambaye yuko Nairobi na anaweza kurecomand any hotel au lodge ambayo ni mzuri na wageni wangu watakaa kwa usalama.

Thank you
 
Wakigoogle tu watazipata, five star kibao nai..tena zingine karibu na airport!!
 
Swala la ukora kule saa zote unatakiwa uwe attention sanasana nairob kwenyewe,maana kuibiwa n chap na kulengeshwa kwa wahuni kule n jambo la kawaida ...
 
Naomba msaada kwa mwana JF yoyote ambae yuko Nairobi

Kuna marafiki zangu wanatoka US wanataka kukaa Nairobi for 1 week. Sasa wanataka hotel au lodge ambayo ni safe kwao.

Msaada ambao naomba ni kama kuna mwana JF ambaye yuko Nairobi na anaweza kurecomand any hotel au lodge ambayo ni mzuri na wageni wangu watakaa kwa usalama.

Thank you
Ngoja kwanza, hao rafiki zako ni mabeberu?
 
Back
Top Bottom