Msaada wa setup za Microsoft Word na PDF Reader

Shadow7

JF-Expert Member
Sep 28, 2020
5,242
2,000
Habari wana JF,

Husika na kichwa cha habari kama kinavyojieleza.
Naombeni msaada wa setup za Microsoft Word na PDF Reader.
Natumia Window 10 Pro 32 bit.

Natanguliza shukrani.
 

Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
6,561
2,000
Habari wana jf,

Husika na kichwa cha habari kama kinavyojieleza.
Naombeni msaada wa setup za microsoft word na pdf leader.
Natumia window 10 pro 32 bit.

Natanguliza shukrani.
Watu hawajakuelewa, ulitakiwa useme "set up files" na siyo set up
Tumia hizi kwa pdf, kwa microsft word fles zake ni kubwa mtu hawezi akaziupload humu, Jamii forums rules haziruhusu, kama sikosei
 

Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
6,561
2,000
Ni kubwa hazikubali. Ukijaribu kuzi-attach zinakubali, uki-click button ya "post reply" inakwenda post bila attachment. Samahani kwa usumbufu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom