Msaada Telegram Split Screen

Gushleviv

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
3,437
5,146
Salaam wakuu. Nikifungua App yangu ya Telegram sehemu ya Msg nakuta Screen imegawika katikati kati ya Chat na Contacts kitu ambacho mwanzoni hakikuwepo, ilikuwa nikifungua nakuta Chats tu, sasa je nawezaje kuondoa hizo Contacts zisionekane chino ya Chats? Msaada kwa yeyote anaweza kunisaidia. CC: Chief-Mkwawa
20210412_221141.jpg
 
Back
Top Bottom