Msaada wa kupata chuo Uganda

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
489
250
Habari za muda huu ndugu zangu,

Ngoja niende kwenye point natafuta mtu mwenye connection ya kupata vyuo Uganda au hata mashirika ya kusaidia kupata chuo huko. Mfano niliongeaga na education link ila wao waliniambia wanasaidia kutafuta chuo nje ya E. AFRICA ila ndani ya E. Africa wao hawawezi.

Naombeni msaada wa kupata shirika au hata mtu atayeweza nisaidia kupata chuo Uganda.

Asante sanaa
 
adakiss23

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
3,711
2,000
Nataka chuo chochote cha uganda cha govement mfano makelele au kampala
Chuo chochote maana yake nini? vyuo viko vingi. Makerere, MUBS, Kyambogo, Mukono, Mbale KIU nk
Kama course hizi za kawaida baadhi ya vyuo hivyo hapo juu. Details nenda ktk websites zao.
 
digba sowey

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
5,062
2,000
Habari za muda huu ndugu zangu,

Ngoja niende kwenye point natafuta mtu mwenye connection ya kupata vyuo Uganda au hata mashirika ya kusaidia kupata chuo huko. Mfano niliongeaga na education link ila wao waliniambia wanasaidia kutafuta chuo nje ya E. AFRICA ila ndani ya E. Africa wao hawawezi.

Naombeni msaada wa kupata shirika au hata mtu atayeweza nisaidia kupata chuo Uganda.

Asante sanaa
Mkuu tembelea hapa,hili ni chuo kizuri sana, ni international university, kiko Uganda
IUEA
View attachment 1747533
 
Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
489
250
Chuo chochote maana yake nini? vyuo viko vingi. Makerere, MUBS, Kyambogo, Mukono, Mbale KIU nk
Kama course hizi za kawaida baadhi ya vyuo hivyo hapo juu. Details nenda ktk websites zao.
Duuuh! kiongozina his hatujaelewa kitu kimoja hivi kwanza kabisa shida yangu nipate taasisi mfano education link(hawa wanajihusisha na vyuo nje ya E. Africa mm nataka zinazo husika ndani ya E.Africa) wao wanisaidie au waniambie kama na weza pata chuo kwa maana elimu ya uganda mm siijui hata vigezo vyao sivijui baada ya hapo ndio niombe kwa msaada wao inshort natafuta kitu kamaaa education link
 
brucella

Member
Mar 15, 2019
20
45
Na Mimi Tena kuna mtu kaomba msaada wa kozi za afya za distance learning ngazi ya degree hususa Medical lab science ndani ya Africa Mashariki au kusini mwa jangwa la sahara
 
SECRET AGENT

Senior Member
Jan 4, 2019
164
250
Kuna hiki
Makerere University College of Health Science Wana degree inaitwa Bachelor of Medicine and Bachelor of Surgery (MBchB.) Wasiliana na Dean wake upate maelekezo ya namna ya kujiunga na vigezo pamoja na ada

Mawasiliano hayo chini, ukipata ugum wa kuwasiliana naye nicheki tusaidiane.
Email: dean@chs.mak.ac.ug
Tel: +256 414 530 020
 
Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
489
250
Kuna hiki
Makerere University College of Health Science Wana degree inaitwa Bachelor of Medicine and Bachelor of Surgery (MBchB.) Wasiliana na Dean wake upate maelekezo ya namna ya kujiunga na vigezo pamoja na ada

Mawasiliano hayo chini, ukipata ugum wa kuwasiliana naye nicheki tusaidiane.
Email: dean@chs.mak.ac.ug
Tel: +256 414 530 020
Asante sana kiongoz ngoja nije pm
 
ksk

JF-Expert Member
Mar 30, 2016
717
500

mtena

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
2,237
2,000
Kwa course za afya na law kwa vyuo vyote Uganda
Lazima ufanye mitihani yao ya pre- entry na below 50 hutaweza kudahiliwa huko intake zao ni April na September

Ada zao ni cheap na pia unapata exposure pia karibu na Kenya ila ada zao ndio zimechangamka
 
Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
489
250
Kwa course za afya na law kwa vyuo vyote Uganda
Lazima ufanye mitihani yao ya pre- entry na below 50 hutaweza kudahiliwa huko intake zao ni April na September

Ada zao ni cheap na pia unapata exposure pia karibu na Kenya ila ada zao ndio zimechangamka
Duuh! usiniambie kumbe kuna mtihani tena ss kina ss tulio iacha chem na biology miaka 2 huko si tutafukuzwa jaman
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom