Naombeni msaada wa kupata shirika au hata mtu atayeweza nisaidia kupata chuo Uganda

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
478
250
Habari za muda huu ndugu zangu,

Ngoja niende kwenye point natafuta mtu mwenye connection ya kupata vyuo Uganda au hata mashirika ya kusaidia kupata chuo huko. Mfano niliongeaga na education link ila wao waliniambia wanasaidia kutafuta chuo nje ya E. AFRICA ila ndani ya E. Africa wao hawawezi.

Naombeni msaada wa kupata shirika au hata mtu atayeweza nisaidia kupata chuo Uganda. Nomba msaada wa chuo chochote cha goverment course medical doctor matokeo yangu ya A LEVEL CHEM C BIOS C PHY S.

Asante sanaa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom