Msaada FZMovie kuna nini tena?

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
599
206
Habari za muda huu ndugu zangu?

Ngoja niende kwenye point huwa na tumiaka Fzmovie kushusha movie nazozitaka ila siku hizi naona mambo yamebadilika yaan nikibonyeza movie mfano Iron man inafunguka betpawa inshort Ads zimezidi hadi inakata kudownload movie.

Natumia PC kudownload movie msaada ninaoitaji je kuna website nyingi ninayoweza shusha movie nzima kwa mb 200 au 300 kama kwa Fz movie

Screenshot (3).png


Screenshot (4).png
 
Msaada hapa natumia Fzmovie app kudownload movie lakn ss hiz movie siwez kumrushia mtu wala kuziamisha zije kwenye storage yangu mnipe maujuz
Screenshot_20210414-224524.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom