PS4 Kuwaka kwa sekunde na kuzima msaada wa kiufundi

Saul goodman

Member
Aug 22, 2014
38
125
Habari wanajukwaa,

Nina mashine yangu ya PS4 FAT, Kuna siku ilizima ghafla, Tangu izime inashindwa kuwaka ukibonyeza inatoa tu mwanga wa blue kwa sekunde kadhaa then inazima haimalizi kuwaka.

Nimejaribu kutafuta solution Google Bado hazijanisaidia kwa Mwenye ujuzi wa Jambo hili au aliyewahi kusolve naomba msaada wa kiufundi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom