Mimi ni kijana wa miaka 33 sina mke wala mtoto mpaka dakika hii na kila jambo ninalopanga linayeyuka na sio kwa mahusiano tu hadi mipango yote ya kimaisha.
Kwa kweli naumia sana tafadhali naombeni ushauri wenu wa aina yoyote ule.
Habari wanajamvi. Kama kichwa cha bandiko langu linavyosomeka. Mimi ni mkulima wa Mpunga bonde la Usangu, nina uhitaji wa dawa ya kusindika magugu iitwayo Rilo R500.
Naomba msaada mwenye kujua wapi naweza kupata dawa hii. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Habari wana JF,
Nina shida kidogo hapa naomba msaada.
Mimi ni muuguzi ngazi ya Diploma sasa mwaka jana nilijiunga na chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) kuchukua Bachelor of science in Nursing nikajisajili nikaanza masomo lakini baada ya mwezi mmoja ikanibidi nihairishe mwaka wa masomo kwa sababu...
Wakuu mimi ni fundi simu katika kuimarisha huduma nazotoa nimeamua kununua ultrasonic cleaner kwa ajili ya kusafisha saketi zilizoingia maji nilikua naombaa msaada wa zile liquid za kusafishia na zinapatikana wap niko dodoma
Lipi ni neno sahihi kwa matumizi.
Maneno kama Yuko na Yupo, Wapo na Wako, Sipo na Siko, Tupo na Tuko, Uko na Upo.
Baba yuko nyumbani au Baba yupo nyumbani.
Kesho sipo nitakwenda Moshi au Kesho siko nitakwenda Moshi.
Leo tupo Kanisa la Arusha Mjini au Leo tuko Kanisa la Arusha Mjini.
Kaka...
Habari zenu wa kuu.
Naomba nisiwachoshe, kunajambo nataka kulijua maana nimekua nikilisikia kwa muda mrefu kutoka kwa wenzetu waliopo ughaibuni, kuwa kazi ambayo ni kimbilio kwa wanaoingia nchi za ulaya na malekani.
Wakuu eeeh kubeba box ndio kazi gani au ya aina gani. wakuu fungueni code.
Heshima kwenu waungwana
Naomba kujuzwa kuhusu Recruitment Agencies nzuri Ambazo zinatafutia watu ajira kwa sasa na hazina longolongo
Yoyote anaezifahamu tunaomba atuorodheshee hapa pamoja na email zao ili kuwasaidia na wengine wenye uhitaji wa kutumia CV zao
Asanteni
Habari wakuu, kuna binti anadai kijana wetu amempa mimba. Hivyo wamekuja wazazi wa binti kudai ndoa ya mkeka, kinyume na hapo wanatishia kumfunga kijana wetu kwani binti kamaliza form four mwaka jana. Mimba ina miezi 4/5 hivo iliingia wakati akiwa mwanafunzi ingawa kwa sasa amemaliza.
Kijana...
Inasikitisha sana sijui ni kwanini hata nimejikuta nimekwisha tumbukia kwenye ulevi wa kutisha kwa hali niliyofikia ni hatari kwani nakunywa pombe karibu kila siku bila ya kupumzika.
Nimeshakunywa za kienyeji karibu zote, pombe kali zote na kwa sasa nimezamia kwenye bia yaani speed yangu kwa...
Heshima kwenu waungwana
Naomba kujuzwa kwa wenye ufahamu
Hivi mtu anapojaza fomu ya mapunjo kwaajili ya kuchukua michango yake ambayo awali ilikuwa haijawekwa na mwajiri wake je kunakuwa na mzunguko sana katika kujaza hiyo fomu au Kuna unafuu wa ujazaji tofauti na mtu anaenza kujaza fomu za...
Wakuu nipo Dodoma huku ni fundi simu, changamoto ya Dodoma hawana vifaa vingi huwa napata changamoto baadhi ya bidhaa wateja wakihitaji kama hapa kuna battery ya sony xperia xz nilikuwa nahitaji Dodoma nzima nimekosa kwa hapa mjini.
Nilikuwa naomba mawasiliano ya duka dsm ambalo nitakuwa...
Habari wakuu pia poleni kwa majukumu na migangaiko ya kila siku.
Dhumuni la kuleta uzi huu ni kwamba siku ya juzi Jumapili, niliweza kutapeliwa pesa na mtu ambaye nilikutana naye kwa ajili ya biashara ndipo aliweza kunitapeli karibu laki 5 taslim, kwa sura huyo mtu namfahamu na ilikuwa ni mara...
Naomba kufahamishwa mitandao ambayo angalau unaweza kupunguza misongo ya mawazo.
Cartoon, vichekesho, nk.
Nimejaribu nimeona nyingi zinakuwa za matusimatusi. Hizo hapana.
Habari ni majanga kidogo nimepata kwa sasa sina simu ya smart na whasapp ya pc inataka uscan je nijinsi gani nitaweza kuitumia kwa kusajili namba moja kwa moja.
Ahsante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.