msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwenye kujua maswali ya oral ya PCCB-2022 msaada

    Kuna mtoto wa mdogo wangu amechaguliwa kwenye oral ya pccb, sasa ananiuliza baba mkubwa maswali ni yapi wanatoa nimemuambia ngoja nimuulizie kwa watu. Kwaiyo naomba mwenye uelewa kwenye maswali ya oral ya TAKUKURU (PCCB) msaada wenu ili uyu mtoto aweze kupata nafasi ya kazi maana amekaa sana...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kujaza form TaESA

    Habari zenu za muda huu wakuu? Naomba nipate uhakika ni hiki ninachofikiria. Kwenye Kipengele cha "Job Preference" unapojaza form ya TaESA ni sahihi kwamba unatakiwa ujaze kazi ambazo ungependa kuzifanya kutokana na taaluma yako?
  3. JamiiForums Tanzania Msaada

    WADAU KWEMA? Poleni na majukumu. Wakuu nimezitafuta hizi ngoma bila mafanikio mwenye nazo kupitia kifaa chochote naomba(simu,P.C au Compyuta n.k) 1.JAY MO FT NGWAIR&BAMBOO__NISAMEHE. 2.NGWAIR FT JAY MO,FEROOZ,SIR NATURE___MIDA MIBOVU. 3.JAY MO__HILI GAME REMIX. 4.JAY MO__MOCUMENTARY...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kipimo mbadala

    Wakuu habarini za wakati huu. Nimeenda Muhimbili wameniandikia kipimo cha OGD. Kwa ninavyosikia hiki kipimo maumivu yake ni hatari. Naombeni msaada kama huwa kuna mbadala wake. Shida yangu kubwa ni maumivu ya kifua ya muda mrefu ila pia nimegundulika kuwa na vidonda vya tumbo. Nilipewa dozi...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada: Kwa anayefahamu bei ya sasa ya mahindi ni sh ngapi?

    Habarini wana jamvi, Kama kichwa cha habari kinavo jieleza nauhitaji wa mahindi kuanzia tani moja, kwa yeyote mwenye nayo aje na ofa yake tufanye biashara, au kama unafahamu yanapopatikana na bei yake naomba msada wako. Mawasiliano 0744666115
  6. JamiiForums Tanzania Mbalizi Mbeya: Mfanyakazi wa ndani amepotea njia akiwa na mtoto mdogo, msaada wenu

  7. M

    JamiiForums Tanzania Muda gani huchukua kukubaliwa kurudi kwenye utumishi wa umma?

    Ndugu waungwana, nakuja mbele yenu ili kuomba msaada wa haraka na nini nifanye mapema mwaka 2014 niliajiriwa kama mwalimu katika halmashauri moja hapa nchini Tanzania. Hata hivyo, kwa kupatwa na tatizo lililo nje ya uwezo wangu nilipata matatizo yaliyopelekea kuondolewa kwenye mfumo wa malipo...
  8. JamiiForums Tanzania Mke wa Profesa Jay afunguka, familia yaomba msaada wa matibabu

    Familia ya msanii wa Bongo Fleva, Joseph Haule ‘Profesa Jay’ imejitokeza hadharani na kuelezea juu ya hali ya kiafya anayopitia staa huyo na kuomba msaada wa matibabu yake. Jay ambaye pia alikuwa ni Mbunge wa Mikumi, alipoanza kuugua alipelekwa katika hospitali mitaa ya Tegeta, akahamishwa...
  9. JamiiForums Tanzania Nataka kujiajiri ila sijui shughuli gani nifanye

    Jabari za wakatii huu kiongozi & Viongozi mliopo huku JamiiForums natumaini yangu wazima mimi nikijana wa miaka 20 nataka nijiajiri ila sijui nijiajiri kwenye shuhuli gani msaada wenu kazi ipi nikifanya itakua hainipotezei muda Natanguliza shukrani zangu kwenu🙏
  10. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua mshahara wa Diploma ya Ustawi wa jamii

    Naomba kujua mshahara wa diploma ya ustawi wa jamii.
  11. JamiiForums Tanzania Boksi gani nzuri kuflash simu

    Wakuu nilikuwa naomba msaada boksi gani nzuri kwa software za simu, Bajeti yangu ni Million moja.
  12. JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka kwenye tatizo hili la kiafya/ Ulozi

    Let me cut the bullshit and hit the point. Leo nimepokea simu kutoka nyumbani, Napewa taarifa kuwa mdogo wangu wakiume amepata matatizo anapoteza fahamu. Tatizo limeanza siku chache zilizopita( yani ijumaa ya tarehe 04.02.2022). Kijana aliondoka asubuhi sana kwenda shule, mashuhuda wanasema...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Msaada pikipiki yangu ya san lg inashida

    Wakuu nisaidie nina pikipiki ya san lg nilinunua kwa mtu(used) kila nikiwasha inawaka ila kila ninapoingiza gia namba moja au mbili inazima msaada nini tatizo
  14. JamiiForums Tanzania Nina idea ya Educational technology product... Wapi naweza pata msaada wa fund au partnership?

    Nina Idea ya product ya Educational technology. Ila ipo kwenye mahandishi mpaka sasa. Ni wapi naweza pata mfadhili au mtu wa kufanya nae partnership? Naombeni msaada wa mawazo.
  15. JamiiForums Tanzania Msaada wa data na gharama za Kujenga Healthy centre Bukoba Tanzania

    Wataalamu nimepata kamtaji fulani nataka Kujenga kituo Cha afya BUKOBA VIJIJINI TANZANIA Matazamio yangu Kituo kitakuwa na vifuatavyo First Phase ni Kujenga Msingi/foundation ya kituo ambacho kitakuwa na Size: 28'x60' Square Feet: 1,680 Private Offices: 1 Restrooms: 2 Breakroom 1 Exam...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba msaada au ushauri kwa haya yanayonisibu

    Mimi ni kijana wa miaka 33 sina mke wala mtoto mpaka dakika hii na kila jambo ninalopanga linayeyuka na sio kwa mahusiano tu hadi mipango yote ya kimaisha. Kwa kweli naumia sana tafadhali naombeni ushauri wenu wa aina yoyote ule.
  17. JamiiForums Tanzania Nahitaji Shower Mixer Nzuri

    Wadau wa majumba naombeni ushauri nahitaj shower mixer nzuri Je ni wapi naweza kupata kwa hapa Dsm at affordable price but quality
  18. JamiiForums Tanzania Msaada wa dawa ya kuzuia magugu: Rilo R500

    Habari wanajamvi. Kama kichwa cha bandiko langu linavyosomeka. Mimi ni mkulima wa Mpunga bonde la Usangu, nina uhitaji wa dawa ya kusindika magugu iitwayo Rilo R500. Naomba msaada mwenye kujua wapi naweza kupata dawa hii. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
  19. S

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu utaratibu wa kufanya maombi mapya ya chuo

    Habari wana JF, Nina shida kidogo hapa naomba msaada. Mimi ni muuguzi ngazi ya Diploma sasa mwaka jana nilijiunga na chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) kuchukua Bachelor of science in Nursing nikajisajili nikaanza masomo lakini baada ya mwezi mmoja ikanibidi nihairishe mwaka wa masomo kwa sababu...
  20. JamiiForums Tanzania Wakubwa naombeni msaada wa software

    1.Windows 2.Tally 3.Excel
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…