Mwenye kujua maswali ya oral ya PCCB-2022 msaada

kikoozi

JF-Expert Member
Jun 24, 2015
2,030
2,930
Kuna mtoto wa mdogo wangu amechaguliwa kwenye oral ya pccb, sasa ananiuliza baba mkubwa maswali ni yapi wanatoa nimemuambia ngoja nimuulizie kwa watu.

Kwaiyo naomba mwenye uelewa kwenye maswali ya oral ya TAKUKURU (PCCB) msaada wenu ili uyu mtoto aweze kupata nafasi ya kazi maana amekaa sana nyumbani?

Natanguliza shukrani zangu kwenu.
 
Aliekuambia mitihani huwa inarudiwa Ni Nani. General Socio-political knowledge and understanding kwa masuala ya Nchi Ni muhimu. Kukariri suala aliloulizwa mwingine inaweza isiwe Msaada.
 
Aliekuambia mitihani huwa inarudiwa Ni Nani. General Socio-political knowledge and understanding k
umejibu kulingana na maoni yako au uwa unajua wanauliza vipi mkuu?
 
Ataulizwa maswali ya uzalendo au maswali ya darasani kwa fani aliyosomea Yaani ni papo kwa papo..
 
jamani mwenye kujua basi aje anijuze na mimi nikapate kibarua
 
Jamani kwa ambao mmesha fanya tayari naombeni A, B, C za uko jamani
 
Kuna mtoto wa mdogo wangu amechaguliwa kwenye oral ya pccb, sasa ananiuliza baba mkubwa maswali ni yapi wanatoa nimemuambia ngoja nimuulizie kwa watu...
Mwambia Swali la kwanza ni kupigiwa simu kuomba Rushwa ili apate kazi PCCB.

Atapigiwa na watu ambao watajitambulisha kuwa ni watumishi wa PCCB a)akitoa RUSHWA kakosa kazi.b)Asipotoa Rushwa atakosa kazi,c)Akitoa taarifa atakosa kazi na d)Asipotoa Taarifa atakosa kazi.Sababu ni

a-Mtoa Rushwa
b-Mikono mitupu hailambwi
c-Mmbea
d-Haweza fanya kazi PCCB
 
Mwambia Swali la kwanza ni kupigiwa simu kuomba Rushwa ili apate kazi PCCB.Atapigiwa na watu ambao watajitambulisha kuwa ni watumishi wa PCCB a)akitoa RUSHWA kakosa kazi.b)Asipotoa Rushwa atakosa kazi,c)Akitoa taarifa atakosa kazi na d)Asipotoa Taarifa atakosa kazi.Sababu ni

a-Mtoa Rushwa
b-Mikono mitupu hailambwi
c-Mmbea
d-Haweza fanya kazi PCCB
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mwambia Swali la kwanza ni kupigiwa simu kuomba Rushwa ili apate kazi PCCB.Atapigiwa na watu ambao watajitambulisha kuwa ni watumishi wa PCCB a)akitoa RUSHWA kakosa kazi.b)Asipotoa Rushwa atakosa kazi,c)Akitoa taarifa atakosa kazi na d)Asipotoa Taarifa atakosa kazi.Sababu ni

a-Mtoa Rushwa
b-Mikono mitupu hailambwi
c-Mmbea
d-Haweza fanya kazi PCCB
Hahaaa dah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom