msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. msaada remote desktop software

    Msaada ,ninahitaji kufanya kazi za wateja nikiwa mbali kutoka kwenye computer zao. Nahitaji remote desktop software nafuu au cracked. Nawasilisha
  2. MSaada: Windows 10 haitaki ku update

    jana ilidownload mpaka 100 asilimia kufika hapo ikaganda tu leo ndio imekaa tu 0 asilimia wala haisogei naomba msaada maana hata bluestacks emulator imegoma kufunguka nahisi tatizo ni hili na nilitumiwa vitu muhimu sana whatsapp navihitaji sana lakin bluestacks haifunguki tena,yaan hata sielew...
  3. Ndugu zangu nisaidieni kazi, hali ni mbaya mno

    Habari za siku ndugu zangu pia poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa..... Niende kwenye Mada binafsi mimi nikijana wakiume mwenye umri wa Miaka 26 ,pia nimuhitimu wa Chuo fulani Ngazi ya cheti katika fani ya Uongozi na usimamizi (public administration and management) mwaka 2018, Pia nina ujuzi...
  4. S

    Msaada wa bei na soko la mazao haya

    Wadau wazoefu kwenye kilimo cha bustani naomba kupata ushauri kuhusu kilimo hicho,bei na masoko ya mazao haya. 1.kindola (matango madogo). 2.Kalela 3.Maharage ya kichina 4.Kisola 5.Pilipili maricha Note: Baadhi ya majina yaliyotumika ni ya asili
  5. Naomba msaada wa jina la haya matunda na upatikanaji wa mimea yake kwa ajili ya kupanda

    Haya matunda nilibahatika kuyala nikiwa mdogo na wakati huo sikufanikiwa kujua hata yalikuwa yanaitwaje ila ninacho fahamu ni kwamba yana ladha nzuri sana ya utamu ambayo hauwezi kufananisha na matunda mengine. Msaada wenu wakuu, nahitaji kupanda miti yake, ikiwezekana hata minne. Natanguliza...
  6. Nahitaji gari ya kuendesha kama Uber au Bolt kwa mkataba

    Mimi n kijana mpambanaji hapa Mjini! Na ata kuna threads nyingine za nyuma mlishanishauri na sasa ni vyema tu mambo yanaenda vizuri namshukuru Mungu! Kwa uwepo wenu na mawazo yenu ila mimi leo nlikua naomba mnisaidie pia make najuaa hii n community kubwa na inawatu wazito pia ndani yake! Mimi...
  7. Msaada tafadhali kwenye freelancing upande wa website development

    Nimeunda gig yangu ya kwanza huko fiverr kuhusu website development, sasa ambacho nataka kufahamu wakuu ni je - Website ya mteja nampatia ikiwa hosted tayari ama nampa source codes? -Kama nampatia ikiwa hosted, gharama za domain na hosting inabidi niwe nimezijumuisha kwenye cost ya kazi yangu ...
  8. Naomba msaada jinsi ya kujua Laptop ya bei ndogo chini ya 500,000 yenye uwezo mzuri

    Habari ya leo wakuu, samahani Nahitaji kununua Laptop kwa ajili ya matumizi Katika shughuli zangu Kazi nnazo hitaji kuzifanya zaidi ni kuandika vitabu, kutengeneza matangazo, posters n.k Napenda nitumie laptop kufanya kazi hiyo kutokana na mazingira yangu kibiashara kuwa ya kusafiri mara...
  9. Msaada: Baba yangu mzazi ameuza nyumba yake na hataki kunipatia pesa japo kidogo

    Habari zenu ndugu zangu, naombeni ushauri wenu kwenye ili naamini uku jukwaani kuna wenye ushauri bora zaidi na wenye experince na mambo mbalimbali, mimi ni kijana wa umri wa miaka 41, kwetu tumezaliwa 4 ila kwa sasa tumebaki 3 baada ya mmoja bahati mbaya kufariki miaka 6 iliyo pita, mimi ni...
  10. Msaada tutani: Nimekuta hivi vidonge kwenye mkoba wa dem wangu. Je, vina kazi gan?

    Misoprostol tablets!!
  11. Msaada MESTEROLONE 25mg

    Naomba msaada nahitaji dawa ya MESTEROLONE 25mg au proviron , mwenye kujua duka ninaloweza kupata au pharmacy ninayoweza kupat au km yy anaweza kufanya niipata tuwasiliane au anuelekez maan nimezitafuta sana cjazipata Msaada wapendwa
  12. Msaada wakuu kuhusu demu, ana matatizo

    Habari za saa hizi wakuu kuna demu nimeotea bhana sasa simwelewi leo ni mara ya pili nampeleka gheto tunafanya romance fresh ikifika wakati nataka kuanza tafuna mbususu anazima anapandisha mashetani. Mara ya kwanza nikajua masihara leo mara ya pili ni hivo hivo akiwa kwenye hiyo situation...
  13. Msaada kuhusu hii ndoto

    Wadau , nimekuwa nikisumbuliwa Sana na ndoto za ajabu Sana mpaka nikiamka naziwaza Sana nashindwa kuelewa Zina maana gani Baadhi ya ndoto zimekuwa zikijirudia Sana na baadhi zimekuwa halisi katika maisha yangu Mfano niliota nafukuzwa kazi na nikafukuzwa kweli bila kosa lolote , Baada ya kuoa...
  14. Msaada kuhusu Alistair Group

    Habari zenu wakubwa na wadogo Naomba kuuliza kwa wale ambao wamewahi kupata kazi au kushiriki usahili katika hii kampuni ya Alistair Group Baada ya kufanya Aptitude test na ile interview nyinge ya pili kwanjia ya WhatsApp je kuna usahili mwingine unaofuata ? Na je kama upo unakua katika mfumo...
  15. Msaada Mwanza kwenda Nairobi

    Msaada , nataka kwenda Nairobi kutokea Buzuruga stendi. Maswali yangu ni Lipi basi zuri? Nauli kiasi gani? Safari ni masaa mangapi? Vipi kuhusu chanjo mpakani? Nk. Natanguliza shukrani
  16. Kutoa msaada Mbele ya Ma-Camera!

    Inashangaza Sana kutoa misaada kwa wahitaji Mbele ya Camera Kama zote. Ili upate nn?
  17. Msaada mwenye contact za lubondo nikapumzike kidogo

    Msaada tutani mwenye contact za lubondo au aliywahi kwenda lubondo anipe abc na ushauri kama panafaa kwenda kupumzisha akili kidogo au ni changamoto
  18. Mafundi simu msaada wa kisheria

    Wakuu habar za uzima najua tupo kwenye pilika pilika kwa ajili ya maandalizi ya sikukuu. Nilikua naombeni msaada wa kisheria kwenye ufundi simu upande wa software je kuremove password kwenye simu ni kosa kisheria? Na kipi ukifanya ni kosa na kipi so kosa wakuu. Ngoja niwape kisa...
  19. P

    Msaada: tafsiri ya ndoto ya kuokota pesa na biashara ndogo.

    Habari zenu wakuu. Samahani nina jambo nimelikumbuka nikaona bora nifuatilie kuna nini nyuma yake juu ya ndoto hizi. Ama hazina maana. Nimeota usiku mmoja. Ya kwanza nimeota niko njiani natembea sehemu siifahamu hakika, nikaona noti kadhaa za efu kumi kumi hivi nikapiga chabo pembeni kama kuna...
  20. Nimepata kidonda kikubwa kwenye kichwa cha uume baada ya kunywa malafin

    Wakuu nimemeza malafin kwaajili ya malaria, siku ya pili yake nikahisi maumivu kwenye uume kucheki kuna kama vijipele hivi, nikavichukulia poa kuamka siku ya pili yake limekua donda, yani ni kama jeraha la moto linanikondesha sana kwani siwezi nikasema kuwa ni gonjwa la zinaa coz sijasex...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…