msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PANTHERA LEO

    JamiiForums Tanzania Msaada, nahitaji mawasiliano ya Serengeti BL na TBL

    WAKUU NIMEJARIBU KUWATAFUTA MTANDAONI NIMEKOSA MAWASILIANO YAO Nataka kuuza vinywaji vyao kwa jumla ila utaratibu siujui. Naomba mwenye kujua anifahamishe
  2. C

    JamiiForums Tanzania Natafura mfumo bora wa ukusanyaji kodi katika nyumba za kupanga

    Wakuu salamu. Naomba niende kwenye point moja kwa moja. Kama mnavyojua miaka inasogea na watoto wanakua na wakubwa wanazeeka. Na maisha yanasonga mbele na TOZO zinayoyoma. Pamoja na 10% inayopendekezwa na serikali ya CCM, kwenye nyumba za kupanga. Sasa Mungu katubariki vijumba viwili vitatu...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu tiba mbadala ya maumivu

    Ninaomba mwenye kuijua tiba mbadala ya maumivu ya mwili mzima anisaidie Tafadhali!
  4. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania Urusi: Ujerumani imevuka mstari mwekundu kwa kuipa msaada wa kijeshi Ukraine

    Dah nimeshangaa sana hii habari ,hivi kati ya US na Germany nani kavuka mstari mwekundu .Germany kila siku analalamikiwa na zelesky kwamba amekua akitoa ahadi hewa, juzi kaahid kutoa magari 50 , na vifaa vingine leo anaambiwa kavuka mstari,.he aliyetoa Himas hamumwoni ,hapo Germany hajatoa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wadau: Civil and Highway Engineering vs Civil Engineering

    Habari wadau wa JF, Hope mnaendelea vyema na majukumu. Bila kuwachosha niende direct kwenye mada kama kichwa cha andiko. Naomba kujua tofauti Kati ya hizi kozi mbili za bachelor's degree Kati ya hii inayoitwa BACHELOR OF CIVIL AND HIGHWAY ENGINEERING inayotolewa pale Arusha Technical college...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Msaada sehemu ya kujifunza ufundi Kilimanjaro

    Kama kuna fundi au mtu anayefahamu sehemu ninayoweza jifunza ufundi radio, TV, pasi (electronics), tofauti na VETA coz veta hawana evening class msaada please Kilimanjaro
  7. hp4510

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri wa masega

    Gari yangu ni Toyota Kluger, Kuna siku ilileta shida nikapeleka gereji pale kariakoo Kuanzia hapo imeanza kuwa na mlio mbaya, haina nguvu, na consumption ya mafuta imekuwa juu Sana Sasa nikaambiwa masega yameibwa ndio maana Iko hivyo Sasa swali langu Kwa wataalam, Hivi vibuyu ninavyoviona...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada anayejua tiba ya flatulence/ tumbo kujaa gesi

    Jamani anayejua tiba ya tumbo kujaa gesi naomba anisaidie
  9. R

    JamiiForums Tanzania Anayejua swift code ya NMB Bank naomba msaada.

    Habari wakuu Nahitaji swift code ya benki ya NMB .Inasomeka NMIBTZTZ. Hiyo character ya tatu ni namba 1 au ni herufi I ? Napiga namba zao za customer care hakuna option ya kuongea na mhudumu!
  10. Kelela

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kujua chuo cha udereva wa pikipiki na kupata leseni

    Habari wana JF, Naomba kujulishwa mambo yafuatayo kwa wanaofahamu. 1. Chuo kinachotoa mafunzo ya udereva wa pikipiki Dar es salaam (Specifically wilaya ya Temeke). 2. Jinsi ya Kupata Leseni ya Kuendesha Pikipiki na Gharama zake. 3. Jinsi ya Kubadili Plate number kutoka Nyeupe kuwa njano...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Jamani inawezekana vipi nikachaguliwa chuo ambacho sikukiomba

    Jamani inawezekana vipi nikachaguliwa chuo ambacho sikukiomba Yan nilichaguliwa chuo Cha Kampala dirisha la kwanza na mimi sijawahi kukuomba hiki chuo niliomba udsm ,ardh na mzumbe lakini sikuchaguliwa. Nilirudia dirisha la pili tena ndo nasubilia matokeo Sasa Leo napigiwa na chuo Cha Kampala...
  12. luangalila

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Kampuni za Mabasi zinazo kwenda Shinyanga kutokea Dsm

    Wadau kwemaa ? Naomabmsaada kujua kampuni za mabasi zinazo kwenda Shinyanga kutokea Dsm. Basi quality na Mwendo Mwendo mzuri, naomba msaada wadau mnijuze.
  13. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ulikifanya kwa kutumia nguvu nyingi, muda mrefu au kuomba msaada usaidiwe kabla hujagundua mbinu rahisi ya kukifanya kwa wepesi

    Kwa muda mrefu sana nimekuwa naweza kunyoosha mashati na makoti lakini linapokuja suala la kunyoosha suruali za vitambaa na kadeti ilinitesa sana kwakweli, nilikuwa naotea otea tu mpaka kuna muda narudia mara tatu kunyoosha suruali moja. Yaani kulinganisha tu upanga wa suruali ilikuwa mtihani...
  14. Felixtz

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Nguo za dukani (readymade)

    Habali zenu wanajf, ni matumaini yangu mpo salama kwa kudra zake Mwenyez Mungu, nami ni mzima wa afya Alhamdullilahi. Poleni na majukumu ya kila siku katika kutafuta riziki. Mimi nipo Mwanza karibu na stendi ya Buzuruga, nina mtaji wa milioni 2.5, sasa wazo langu la biashara ilikua ni kuuza...
  15. thee kid

    JamiiForums Tanzania Nisome kozi Gani kati ya hizi nitakazozi orodhesha hapa chini?

    Habarini wakuu, poleni na majukumu mbalimbali yanayowakabili. Samahanini nimeandika Uzi huu kuomba ushauri nahitaji kwenda kuongeza elimu ya vitendo kidogo katika vyuo vya VETA infact kwa sasa hivi Mimi ni mhitimu wa shahada ya Manunuzi na ugavi kutoka chuo fulani hapa nchini. Nilkuwa...
  16. APPROXIMATELY

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu, naombeni msaada kwa hili...

    Habari za humu ndani wana Jamiii Forums? Niende moja kwa moja kwenye mada husika, nina jamaa yangu anaomba apewe ushauri kwa hili, ame ishi na mwanamke toka 2018 kipindi chote hicho amebahatika kupata watoto wawili, ameishi naye mda wote huo hata hakuwahi kujitambulisha kwa ndugu zake maana...
  17. Brown Mduma

    JamiiForums Tanzania Msaada Kuhusu ufugaji wa kuku wa mayai

    Wakuu mwenye kujua changamoto za ufugaji wa kuku wa Mayai na namna kuzikwepa anipe muongozo kidogo kwasababu kuna jamaa mmoja alinisimulia juu juu tu kuhusu ufugaji huo akidai nikiwa na kuku 300 niweza pata hadi trey 18 kwa siku kuku wa kishaanza kutaga sasa kwa upande wangu nimeona ni fursa...
  18. Myahudi Jr II

    JamiiForums Tanzania Watabe wa Physics naombeni msaada haya maswali chap chap, sijiamini na majibu

    Note: Swali la 3 nishagugo nikapata
  19. Burnaboy

    JamiiForums Tanzania Msaada ninunue sm gani kama upgrade ya Oppo A93?

    Solved
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kati ya Gender Development na Social Development ipi ni kozi nzuri kusoma

    Habari zenu wakuu Jaman naomba msaada kozi gani nzuri ya kusomea kati ya gender and development na management of social development Na vipi kwenye upande wa kujiajiri au kuajiriwa je ipi ni makertable? Asanteni
Back
Top Bottom