Naweza kutumia namba za simu tofauti kuombea mkoo HELSB

Safam

Member
Jul 7, 2022
5
5
Wapenda naombeni msaada kwenye hili.

Hivi ninaweza kutumia namba za simu tofauti katika maombi ya mkopo wa elimu ya juu na maombi ya chuo
Hususani katika maswala ya kulipia kupitia control number ?

Msaada please
 
Back
Top Bottom