Wakuu habari za mda huu. samahani sana naomba kuulizia hivi nitaweza kupata wapi sehemu ya kusajili wazo langu yani idea yangu ya ubunifu. nataka nisajili idea ( Hati mmiliki ya wazo).
Nina kifaa cha umeme ambacho nimekitengeneza mimi mwenyewe.
ila na hofia naweza nikakipost au kukipeleka...
Bernard Aritua Afisa na Muwakilishi wa Taasisi hiyo amesema hawawezi kutoa Ufadhili wa kujenga miundombinu hasa Barabara, kutokana na ukosefu wa Sera za Kifedha na Kanuni za Sekta ya Uchukuzi.
Benki ya Dunia imesema Sudan inapaswa kufanyia marekebisho Sera zenye changamoto kwa misaada ambazo ni...
Poleni na mapambano wakuu.
Twende kwenye mada, nahitaji kujenga chumba kimoja chenye size tajwa hapo juu. Halafu baadae nitajenga chumba/rest room juu yake. Kinaunganishwa toka kwenye nyumba kubwa. Kwa maana ukuta mmoja itakuwa wa nyumba kubwa ambayo tayari ipo.
Naomba kufahamu uchanganuzi wa...
Naomba msaada wa kuondoa madoa haya kwa mdogo wangu wa kike
umri miaka 15.
mwanzo alikua anasumbuliwa na upele uliokua unajitokeza kwa awamu na alipoenda hospital aliambiwa ni Allergy.
Hili tatizo la kupata vipele vinavyowasha lilikua lina kuja na kupotea baada ya muda....
Baadae kidogo...
Mdogo wangu alinifuata wiki moja iliyopita akitaka nimsaidie jambo moja. Huyu mdogo wangu ameoa, ana mke kwa muda wa miaka 4. Anatafuta mtoto naye hawajapata ata kidogo, sasa amekuja kwangu wiki iliyopita anasema anaomba nitembee na mke wake apate mtoto.
Sikuamini macho yagu kabisa, nikaona...
Nimekuwa mara kwa mara naota kuku, aidha nakula nyama ya kuku au namkimbiza kuku ...kwa leo nimeota tulikuwa watu kama watatu hivi, tulikuwa tunamkimbikuza kuku na baadae mimi ndie niliefikiwa kumkamata huyo kuku...hii ina maana gani
Nlivyomaliza form four na nikachaguliwa kwenda kusoma electrical engineering pale DIT nilisoma mwaka mmoja tu na kumaliza nilivyoingia mwaka wa pili Ada ikawa changamoto kutokana na matatizo ya kifamilia kwaiyo nikashindwa kuendelea Sasa nipo home mwenye connection ANISAIDIE jamani....Amina
Habari wana jf, poleni na majukumu. Nimefikwa na jambo linalo nitatiza ikabidi niwakimbilie kupata msaada.
Hivi karibuni nimepata mwanamke ambaye ameonesha upendo mkubwa na kunijali sana ila kuna kitu hakiko sawa naninahitaji ushauri au tiba hasa.
Tatizo:
Kila nikikutana nae kimapenzi tu basi...
Ninataka kuelezea uimbaji wa mwanamuziki fulani kuwa anaimba kwa madoido. Si lengi anavyo jibeba kimwili au mbwembwe zake akiwa jukwaani bali anavyoimba kisauti. Wakuu ni neno gani la kingereza linafaa hapa.
Natanguliza shukurani zangu.
Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 30 nina tatizo la usikivu hafifu ambalo lilinianza nikiwa na miaka 14 au 15 hivi. Nashindwa kumsikia vizuri mtu akiwa mbali, anaeongea kwa sauti ya chini sana, mtu anaeongea haraka, mtu mwenye kigugumizi, mtu akiniongelesha tukiwa kwenye makelele na pia...
Habari zenu wana jukwaa
Nilipata tatizo la mguu baada ya kudondoka na nilipoenda hospital nikapigwa X-ray kisha doctor akanambia kwamba nimevunjika mfupa mdogo ambao haubebi uzito kisha palepale nikatakiwa nivae Plaster of Paris (POP) na nikaambiwa kwamba natakiwa nikae nayo kwa muda wa wiki 4...
Wadau niombe msaada kihusu mada tajwa hapo juu. Nimekuwa napambana na ujenzi wa kibanda changu cha ndoto yangu kwa kipindi cha miaka mitano hivi.
Ilivyofika mwaka jana wakati wanapiga plasta nilikuta kitu kisichocha kawaida katika mchanga, nilimkuta sungura aliyechinjwa akiwa amefukiwa kwenye...
Washington. Serikali ya marekani imeliomba bunge kupitisha ombi jipya la bajeti ya matumizi kwa ajili ya Ukraine linalokadiriwa kufikia trilion 28.
Ombi hili jipya la utawala wa Biden linalenga kuisaidia Ukraine kijeshi na kiuchumi katika kukabiliana na uvamizi wa Urusi.
Senators from both...
Wakuu msaada, nimekuwa nahangaika kulink card yangu ya VISA Debit kutoka Equity Bank. Nilipowauliza wakasema ni BOT wamezuia online transactions kutoka/kwenda kwenye online gambling sites na forex.
Nilipewa pia jibu hilo hilo nilipowapigia BancABC.
Kwa wale wanaofanya online betting kupitia...
Wakuu msaada, nimekuwa nahangaika kulink card yangu ya VISA Debit kutoka Equity Bank. Nilipowauliza wakasema ni BOT wamezuia online transactions kutoka/kwenda kwenye online gambling sites na forex.
Nilipewa pia jibu hilo hilo nilipowapigia BancABC.
Kwa wale wanaofanya online betting kupitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.