MSAADA: Tatizo la wanaume kuota matiti

MSAADA: Tatizo la wanaume kuota matiti

Mara nyingi hiyo hali huwatokea vijana wa Kiume wanapofika umri wa balehe.

Hiyo hali huwa inapotea Kwa kuyakamua na kutoka vimaji Maji kama Maziwa. Usipofanya hivyo wanasema huvimba na kufanya mtoto kuwa na Maziwa makubwa kama mdada.

Ngoja wataalamu waje kutoa muongozo
 
Tatizo la kuota matiti kwa wanaume dawa yake nini ,matiti yanavimba ukiyabonyeza kunakuwa na kitu kigumu kwa ndani, sasa nataka hako kajitu katoke je nifanyeje? Kama kuna dawa ya asili pia naomba msaada.
Uko kwenye kipindi cha balehe, mwili unapanga mafaili tayari kwa kuanza majukumu.
Kuwa mtulivu. Hiyo hali ni ya muda tu itapita na kila kitu kitarudi kwenye nafasi yake.
 
Mara nyingi hiyo hali huwatokea vijana wa Kiume wanapofika umri wa balehe.

Hiyo hali huwa inapotea Kwa kuyakamua na kutoka vimaji Maji kama Maziwa. Usipofanya hivyo wanasema huvimba na kufanya mtoto kuwa na Maziwa makubwa kama mdada.

Ngoja wataalamu waje kutoa muongozo
Muongo!

Mimi nilikuwa hivyo zamani wakati naingia balehe hiyo hali ikaja kupotea yenyewe,tena nilikuwa sijui hadi nilipokusoma hapa nikaji-check nikakuta haipo tena kama mwanzo.
 
MIAKA 25 NISHAKIMBIA KWENYE PUBERTY NA ILIANZA KUTOKEA TOKEA CLASS 5 MIAKA 12 MPAKA SASA. nilishayakamua yanarudi tu yenyewe, yanakera kinoma huwezi ukavaa shati la size lazima uoversize na utembee umeinama kama una kibyongo ili watu wasione, huwezi ukakaa kifua wazi in short yanafanya ukose confidence, u
 
Muongo!

Mimi nilikuwa hivyo zamani wakati naingia balehe hiyo hali ikaja kupotea yenyewe,tena nilikuwa sijui hadi nilipokusoma hapa nikaji-check nikakuta haipo tena kama mwanzo.
Nimewahi kuona baadhi ya Vijana wakiwa hivyo, anyways. Shukrani Kwa Muongozo
 
Kuna jamaa nilisoma naye alikuwa na vichuchu wima kama Binti!
Alikuwa anajichukia sana hiyo hali, Tuliopotezana sijui yupo wapi, kiuhalisia kwao ni singida!
 
mbona ni hali ya mpito iyo ?
niliipata nakumbuka wakati nabalehe, sikumbuki mwaka, nikamstua dingi akasema 'kawaida'
baada ya (miezi sijui mwaka) vikatoweka
 
mbona ni hali ya mpito iyo ?
niliipata nakumbuka wakati nabalehe, sikumbuki mwaka, nikamstua dingi akasema 'kawaida'
baada ya (miezi sijui mwaka) vikatoweka
mimi nagonga 25 tokea miaka 13 ,sidhani kama ni normal
 
Back
Top Bottom