msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Msaada "You need to format the disk before use" Naokoje data zangu?

    Habarini wadau! Naomba maujanja kuna data ziko disk ila hiyo disk haiwezi funguka mpaka uifomart kwanza! Nawezaje kuokoa data zangu ziwe salama salmini?
  2. bright pledge 255

    JamiiForums Tanzania Naomba mnielekeze jinsi ya kuondoa facebook preload video

    naomba mnielekeze jinsi ya kuondoa facebook preload video, yaani inakula mb balaa kwenye setting nimeondoa play automatically ila ata ukizima data video nyingi unaweza kuzi play at least for 12 seconds je nifanye nini kuzuia hilo ,au nisione kabisa video yeyote note; Natumia pc
  3. bright pledge 255

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata transcript ili nifate leseni Dodoma?

    Nimemeliza clinical medicine mwaka jana chuo kipo kanda ya ziwa, nawezaje kupata transcript ili nifate leseni Dodoma.
  4. bright pledge 255

    JamiiForums Tanzania AVN inanisumbua, nifanyaje?

    Habarini ndugu, mimi nimemaliza diploma ya [clinical medicine] CO mwaka jana nahitaji kwenda kusoma degree but AVN number inasumbua kuipata kwenye mtandao nifanyeje ,ama tatizo linaweza kuwa ni nini
  5. Requal

    JamiiForums Tanzania Msaada ya kutengeneza jina la biashara

    Habari zenu, Naomba msaada wa kutengeneza jina la biashara ambalo litakuwa rahisi kutamkwa na fupi. Biashara ninayotaka nianzishe inahusu vinywaji vya aina zote. Jina nilifikiria hili: Isaba General Drinks. Kabla ya julisajili naombeni mawazo ya kuliboresha ila mwanzo kazima jina Isaba...
  6. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhari Nahitaji kitabu cha lejendari Mr II Jongwe, Sugu au Taita

    Mwenye navyo au mwenye nacho ani dm, tafadhari .
  7. dyuteromaikota

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kupunguza wivu

    Ama kweli malovee hayana mwenyewe. Yaani na uhenga wangu nimekamatika na katoto ka mwaka 2000. Muda wote tu nakahisi kama kanachepuka. Japo sijakakamata na ishu yoyote ya kutia shaka lakini nashangaa tu moyo unanienda mbio muda wote nkikafikilia. Wadau ninyi huwa mnafanyaje kupunguza wivu? Uzi...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka kuhusu tatizo la nyufa ukuta wa nyumba

    Wanajf ninaomba ushauri wa haraka wa nini kifanyike kwani kuta za kakibanda kangu kaliopo Katavi mahali ambapo matetemeko makubwa ya ardhi mithili ya mabomu yanapita Mara kwa Mara zimetoa nyufa nyingi!Nyufa zinaanzia chini na kuishia dirishani,zingine zimepitiliza!Nimeambatanisha na
  9. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kubadili tarehe na mwaka wa kuzaliwa NIDA

    Naombeni, msaada hili linawezekana? Mwanangu majina yote ni sawa na picha shida date birth, je itachukua muda gani na gharama kiasi gani?
  10. N

    JamiiForums Tanzania Ganzi nyayoni inasababishwa na nini? Na nini tiba yake?

    Habarini za jioni Wana JF. Humu ni sehemu ambayo nimejifunza mengi. Watu wamepata utatuzi wa yale yanayowasibu. Kama mada inavyosema, nina tatizo la ganzi nyayoni. Hii husababishwa na nini? Nini tiba yake? Natanguliza shukrani kwa msaada wenu.
  11. The Clinical Pharmacist

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali wa chaguo la ujenzi wa nyumba

    Habari za kwako mpenzi msomaji na mwanachama wa Jamvi la hoja mchanganyiko. Mie ninahitaji kuanza kujenga kibanda changu na mimi, hebu naomba mnisaidie katika ya Nyumba hizi ipi ni nafuu katika gharama za ujenzi. Nyumba A Nyumba B
  12. TechPlatform

    JamiiForums Tanzania Msaada: Site yangu imefungiwa Facebook

    Naombeni msaada wakuu site yangu imefungiwa facebook nawezaje ku fix tatizo hili ili facebook niwe nashare link kwenye page yangu na kwenye ma group?
  13. mtzedi

    JamiiForums Tanzania Msaada Redio ya gari

    Habari za Muda huu Kwa wataalamu naombeni msaada Redio ya gari Ina frequency 76-90. Nitaweka kubadili frequency zisome 88-107 au njia mbadala nipate frequency za kibongo.
  14. Jr Xavi Hernandez

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kufuta account yangu ya FB, nimesahau Password na nime-log out muda tu

    Ndugu zangu habarini za asubuhi. Jamani nahitaji msaada jinsi ya kufuta account yangu ya FB, lakini nimesahau Pasword na nime-log out muda tu. Nimejitahidi sana kuomba Pasword Lkn imekuwa changamoto, Ule msimbo hautumwi. Nimeomba kila siku ndani ya siku 25 lkn imeshindikana. Hata sijui ni...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa maoni kuhusu ununuzi wa kiwanja

    Wakuu habari zenu. Kuna kiwanja Kiko sehemu nzuri sana kimetangazwa kuuzwa. Mwenye kiwanja alishafariki, alikuwa anaishi na mwanamke lakini walitengana kabla marehemu hajafa, na baada ya kufariki familia ilimpa baadhi ya maeneo mke walietangana Ili aweze kumudu kuwahudumia watoto alioacha...
  16. system hacker

    JamiiForums Tanzania Wale wa Geography msaada wenu hapa tafadhali

  17. A

    JamiiForums Tanzania Msaada ::Rafiki yangu akiwa Home anapiga show mbovu ila akiwa Away anapiga show kali sana

    Habari ! Ni rafiki yangu na Ni classmate wangu amenishirikisha hili Jambo la kupiga show mbovu home ila akitoka akienda sehemu yoyote anapiga show kali sana!, Mimi kwa upande wangu nimeshindwa kumpa jibu la kueleweka maana sijui , hivyo humu ndani kuna watu wanaelewa Sana hivyo ningeomba kupata...
  18. Father of Chemistry

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Tatizo ni meno kuwa na rangi nyeusi (Meno 🦷)

    HABARINI ZA WEEKEND WANA JF, Natumai mu buheri wa afya. Kwa Ufupi Mimi ni kijana wa kiume miaka 22. Ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimojawapo apa Tanzania. Nimeandika huu uzi kuomba msaada ni dawa gani nzuri ya meno au tiba ambayo itatumika kungarisha meno. Apa tatizo ni meno kuwa na rangi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya kazi yangu

    Habari kwenu nyote, Bila kupoteza muda naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu, naanza kwa utambulisho mfupi ili niweze kusaidika kama ninavyotarajia maana JF kuna wataalam wa kila namna Mimi ni mwalimu, nimekua kwenye hii kazi kwa muda wa miaka minne sasa, nimekua nikifundisha katika...
  20. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada nijue namna ya kudai haki yangu kwenye hili

    Wakuu naomba nisaidiwe. Nimetoka Mwanza Leo August 5 na basi la Kampuni ya Kapriconi lenye namba za usajili T 320 ADC tukiwa tunaelekea Mbeya. Tumefika saa 3 na nusu usiku , ghafla gari ikaamua kuishia iringa na Sisi abiria kuambiwa tupande coaster na ikaondoka fasts. Kwenye Kosta mlangoni...
Back
Top Bottom