Msaada: Anayejua namna ya kuomba mkopo anisaidie

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,585
Reaction score
103,415
Kwa anayejua namna ya kuomba mkopo anisaidie. Najaribu ku create account inakataa. Naomba step by step namna ya kufungua akaunti na kuoma .
 
Niwewe? Au jina limejirudia.

Unasema tu mkopo? Umeshindwa hata kujieleza.

Nenda internet cafe usaidiwe.
 
'Mstaafu" unaomba mkopo wapi? Kwenye hizi Apps za kwenye simu ni tatizo kwa kweli.

Jesus is Lord
 
"Pumbavu", damu ya yesu inakuwa makini kulaumu.... tuna wajukuu wanahitaji kusoma 😀 😀 😀 😀 😀
 
Back
Top Bottom