msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chomo

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nahitaji ushauri ni friji aina ipi bora kati hii HISENSE au BRUHM

    Wakuu salaam, Nahitaji kununua friji kwa bei ya hizi zetu watu wa hali ya kawaida,sasa ktk pita zangu nimeona angalau HISENSE na BRUHM ni bora kidg kulingana na pesa niliyonayo naomba ushaur je ipi ni bora kati izo ya izo mbili hapo je zile za condeser nje yaan nyuma ya friji na zile...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba msaada kwa anaejua jinsi ya kufungua website na kulipia domain

    Wakuu naomba msaada kwa anaejua jinsi ya kufungua website na kulipia domain. Hela ya vocha ipo
  3. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuscrape instagram account.

    naweka dau kwa mtaalam atakaye weza kunisaidia kuscrape followers katika account yenye followers 51k kama unaweza tupatane PM kwa mazungumzo ya kina. Asante:
  4. WIMICKY

    JamiiForums Tanzania Msaada: Moderm inajidisconnect

    Habari wakuu naomba msaada kwa anayeweza elewa tatizo la moderm kujidisconnect yaani nikiweka inafanya kutoa kamlio kanakoashilia inaconnect na kujidisconnect. Hata kusoma kwenye window haionyeshi kama imesoma nimejaribu kubadili window ila bado shida nimechukua mordem nyingine na kuijaribu...
  5. msaranga1

    JamiiForums Tanzania Msaada format ya username kwa Non Necta apllicant HESLB

    Mwenye kujua format ya username kwa non-necta applicant wa mkopo bodi ya mikopo elimu ya juu anisaidie tafadhali, mfano format ya necta applicant ni S0143.0078.1990. Je ya Non Necta ikoje?
  6. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya ku-search kupitia google kwa mtindo huu?

    Habari zenu wataalam Naomba kujua jinsi yakusachi ilikupata taarifa kutoka mtandao mmoja pekee. Mfano: Nataka kusachi neno fulani tuseme "ushonaji". Matokeo nataka yatokee kutoka katika mtandao mmoja pekee. Na sii mchanganyiko mchanganyiko kama ambavyo inatokea mtu akisachi kupitia...
  7. Quavohucho

    JamiiForums Tanzania Msaada! Kaios

    Je naweza kupata vpn special for kai os Pia inawezekana kudownload operamini for kaios niweze kuingia insta web
  8. FatherOfAllSnipers

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Dawa ya kutoa mimba ya miezi mitatu

    Wakuu, sheria inasema anayetoa au kutolewa mimba wote hao wanaweza kukabiliwa na kifungo cha mpaka miaka 7+ jela. Mimi kwenye harakati za kupitapita nilipita sehemu isiyopitika, nikakutana na kitoto cha watu nikajilia vyangu. Kitoto kilianza kuumwa umwa tukajua jambo la kawaida, sasa leo...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Visit visa ya canada 🇨🇦

    Habari wakuu, Naomba msaada wa kujua je, unaeza pata visit visa ya Canada then ukifika nchini humo ukapata kaz ukabidili kuwa work. Naombeni mchango wenu kwenye hili ni muhimu sana.
  10. Tempest

    JamiiForums Tanzania Msaada wa hili, miguu inakufa ganzi

    Habarini wadau, Kama wiki sasa nimepata hili tatizo la miguu kufa ganzi, wa kushoto ndio sana mpaka sasa nakuwa siu feel kwa kiasi kikubwa, nikajua itaenda ikipungua ila naona ipo same au kama inapungu basi taratibu sanaaa kiasi chja kwamba siwezi jua, Kama kuna yoyote mwenye ujuzi au...
  11. G3T

    JamiiForums Tanzania Msaada wa email ya serikali

    Wakuu habarini za saivi, Nimejaribu sana kutumia email iliyo wekwa kwa ajili ya kuapply kazi ila kila nikituma inaniambia failed. Nawaombeni msaada wa jinsi ya kutuma email, mie naona naenda kukosa kazi. Nimetumia hii email utawala@mwanza.go.tz. imefaile na kuniletea hii massage Sorry, we...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa chuo Cha mzumbe

    Samahan kwa wenye ujuzi nafanyaje make nilirudia kuomba second selection chuo cha mzumbe Sasa leo metumiwa sms kuwa niingie kwenye account Kuna information za kuwork on sa nilivoingia sijaelewa nafanyaje meandikiwa hivi
  13. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kuprint form and declaration ya mikopo HESLB

    Nikitaka ku print form ya signature and declaration baada ya kujaza all fields katika kuomba mkopo HESLB inasema picha ya grantor uliyowepa can not be printed. Solution yake ni please? Nime i-resise accpording to their allowed size JPG still inakataa. Inaleta msg hii TCPDF ERROR: [Image]...
  14. Phobia

    JamiiForums Tanzania Msaada wa maswali ya oral and written interview ya Jakaya Kikwete Cardiac Institute

    Kwema? Jamani samahani kama kuna anaweza nisaidia maswali ya usahili wa taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete oral pamoja na written.
  15. Dola Iddy Wa Chelsea

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Nikopeshe Microfinance

    Habari zenu ndugu zangu, Ukweli siko poa kiakili. Kutokana na hali ngumu kiuchumi nilijaribu kukatisha play store kutafuta app inayotoa mkopo online ndipo nikakutana na hawa jamaa wanaojiita Nikopeshe Microfinance. Nikafuata taratibu zote nilipofika kwenye fomu ya kuomba mkopo nikaambiwa...
  16. GIRITA

    JamiiForums Tanzania Msaada Natafuta kazi NHIF Data clark. Karani wa kuingiza taarifa za NHIF

    Habari wakuu Natafuta kibarua cha kuingiza taarifa za mfuko wa Bima ya afya wa Taifa NHIF. Naweza kufanya member authorization. Naweza kufanya Eclaim- kudai malipo ya kituo kwa mwezi husika. Naweza kujaza kitabu cha Dawa cha wagonjwa wa Bima ya NHIF. Nina ujuzi wa kutumia computer. Sikusoma...
  17. co fm

    JamiiForums Tanzania Wajuba msaada kwenye bajeti

    Habari za humu wadau, Ninaomba muongozo kwa malegend jinsi gani ninaweza survive kwa mshahara wa 895k per month baada ya makato yote...chini hapa ni ufafanuzi wa jinsi naweza kugawanya. 1. Kodi 250,000 2. Mafuta ya gari 200,000 3. Wazazi 100,000 4. Matumizi etc 200,000 5. Saving ni amount...
  18. jamesandrew

    JamiiForums Tanzania Mwenye ufahamu kuhusu kutembelea Serengeti naomba msaada

    Habari za asubuhi? Natumaini wote tumeamka salama na tuko katika mapambano yetu ya kila siku ya maisha. Samahani naomba kufahamu kuhusu utaratibu wa kutembelea Serengeti kama Mtanzania. 1. Je gari aina za Coaster inayobeba abiria 30 inaruhusuiwa kuingi mbungani? Mikumi kuna ruksa hio unalipia...
  19. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naweza kupata huduma ya kiubalozi kwenye nchi isiyo ya kwangu?

    Wakuu habarini, Naomba kuuliza jambo hili moja, kuwa naweza pata huduma ya kiubalozi kwenye nchi isiyo yangu ikiwa pia balozi hiyo ipo nchini kwangu. Mfano nafukuzia visa ya aina fulani ambayo nchi yangu haina au sio eligible, je, ninaweza kwenda nchi nyingine na kuomba aina hiyo hiyo ya visa...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada, nina mtaji wa laki tano nifanye biashara gani? Nipo Kinondoni - Dar es Salaam

    Naomben msaada, mimi sijawahi kufanya biashara yoyote ile. Nimemaliza kidato cha nne 2019 na nilikuwa nasoma chuo lakina nimesitisha kwa sababu mbalimbali. Naombeni msaada wenu, nina mtaji wa laki 5 ndugu zangu nifanye biashara gani?
Back
Top Bottom