scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,863
- 5,736
Kuna ndugu yangu ana tatizo yaani ana maumivu makali kuanzia sehemu ya chini ya shingo upande mmoja kuja begani mpaka kwenye mkono(ni sehemu ndogo tu) valianza kusikia maumivu kidogo kama wiki moja akadhani labda analala vibaya lakini kadri siku zinavyokwenda maumivu yakazidi, ikabidi aende hospitali.
Alivyomuona Daktari wa mifupa akampa dawa na akaendelea na mazoezi ya viungo ma massage za kutosha lakini tatizo ni kama linaongezeka yaani maumivu ni makali, mchana usiku ni maumivu tu.
Kwenu wataalamu wa afya je unaweza kuwa ni ugonjwa gani?
Je, afanye nini?