msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G3T

    JamiiForums Tanzania Msaada wa email ya serikali

    Wakuu habarini za saivi, Nimejaribu sana kutumia email iliyo wekwa kwa ajili ya kuapply kazi ila kila nikituma inaniambia failed. Nawaombeni msaada wa jinsi ya kutuma email, mie naona naenda kukosa kazi. Nimetumia hii email utawala@mwanza.go.tz. imefaile na kuniletea hii massage Sorry, we...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa chuo Cha mzumbe

    Samahan kwa wenye ujuzi nafanyaje make nilirudia kuomba second selection chuo cha mzumbe Sasa leo metumiwa sms kuwa niingie kwenye account Kuna information za kuwork on sa nilivoingia sijaelewa nafanyaje meandikiwa hivi
  3. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kuprint form and declaration ya mikopo HESLB

    Nikitaka ku print form ya signature and declaration baada ya kujaza all fields katika kuomba mkopo HESLB inasema picha ya grantor uliyowepa can not be printed. Solution yake ni please? Nime i-resise accpording to their allowed size JPG still inakataa. Inaleta msg hii TCPDF ERROR: [Image]...
  4. Phobia

    JamiiForums Tanzania Msaada wa maswali ya oral and written interview ya Jakaya Kikwete Cardiac Institute

    Kwema? Jamani samahani kama kuna anaweza nisaidia maswali ya usahili wa taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete oral pamoja na written.
  5. Dola Iddy Wa Chelsea

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Nikopeshe Microfinance

    Habari zenu ndugu zangu, Ukweli siko poa kiakili. Kutokana na hali ngumu kiuchumi nilijaribu kukatisha play store kutafuta app inayotoa mkopo online ndipo nikakutana na hawa jamaa wanaojiita Nikopeshe Microfinance. Nikafuata taratibu zote nilipofika kwenye fomu ya kuomba mkopo nikaambiwa...
  6. GIRITA

    JamiiForums Tanzania Msaada Natafuta kazi NHIF Data clark. Karani wa kuingiza taarifa za NHIF

    Habari wakuu Natafuta kibarua cha kuingiza taarifa za mfuko wa Bima ya afya wa Taifa NHIF. Naweza kufanya member authorization. Naweza kufanya Eclaim- kudai malipo ya kituo kwa mwezi husika. Naweza kujaza kitabu cha Dawa cha wagonjwa wa Bima ya NHIF. Nina ujuzi wa kutumia computer. Sikusoma...
  7. co fm

    JamiiForums Tanzania Wajuba msaada kwenye bajeti

    Habari za humu wadau, Ninaomba muongozo kwa malegend jinsi gani ninaweza survive kwa mshahara wa 895k per month baada ya makato yote...chini hapa ni ufafanuzi wa jinsi naweza kugawanya. 1. Kodi 250,000 2. Mafuta ya gari 200,000 3. Wazazi 100,000 4. Matumizi etc 200,000 5. Saving ni amount...
  8. jamesandrew

    JamiiForums Tanzania Mwenye ufahamu kuhusu kutembelea Serengeti naomba msaada

    Habari za asubuhi? Natumaini wote tumeamka salama na tuko katika mapambano yetu ya kila siku ya maisha. Samahani naomba kufahamu kuhusu utaratibu wa kutembelea Serengeti kama Mtanzania. 1. Je gari aina za Coaster inayobeba abiria 30 inaruhusuiwa kuingi mbungani? Mikumi kuna ruksa hio unalipia...
  9. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naweza kupata huduma ya kiubalozi kwenye nchi isiyo ya kwangu?

    Wakuu habarini, Naomba kuuliza jambo hili moja, kuwa naweza pata huduma ya kiubalozi kwenye nchi isiyo yangu ikiwa pia balozi hiyo ipo nchini kwangu. Mfano nafukuzia visa ya aina fulani ambayo nchi yangu haina au sio eligible, je, ninaweza kwenda nchi nyingine na kuomba aina hiyo hiyo ya visa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada, nina mtaji wa laki tano nifanye biashara gani? Nipo Kinondoni - Dar es Salaam

    Naomben msaada, mimi sijawahi kufanya biashara yoyote ile. Nimemaliza kidato cha nne 2019 na nilikuwa nasoma chuo lakina nimesitisha kwa sababu mbalimbali. Naombeni msaada wenu, nina mtaji wa laki 5 ndugu zangu nifanye biashara gani?
  11. Risk manager

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada kisheria, nawadai Airtel

    Habari zenu wanajukwaa, Ninaombeni nisaidiwe namna ya kurudishiwa hela na Airtel kiasi cha shilingi milioni moja ya kitanzania. Ishu iko hivi nililipa katika akaunti yao ili nijengewe zile shop zao. Sasa team leader aliyekuwepo hakunipa mktaba wa kujaza mpaka nikaondoka eneo nilikokuwepo maana...
  12. ABDULLAH1234

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa zana za ufundi selemala

    Habari zenu waungwana, Naomba msaada wa kujuzwa ni vifaagani muhimu nahitaji ili kuanza kijiwe changu cha ufundi Selemala na bei ya tool husika ili niweze kuandaa badget.
  13. Tripo9

    JamiiForums Tanzania Msaada wa maswali ya written interview na oral ya Office assistant kwa serikalini

    Naomba Msaada wa maswali ya written interview na oral ya Office assistant kwa serikalini. Natanguliza shukrani zangu
  14. Miss lb4lyf

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya masuala kadhaa katika biashara ya vipodozi

    Habarini wakubwa heshima yenu Mimi ni muhitimu wa mwaka huu ni binti nna 23 yrs, sina mpango wala fikra kuusu kuajiriwa, naamini zaidi katika kujiajiri(biashara), Nimefanikiwa kuwezeshwa mtaji wa 5M, nataka kuingia kweny biashra ya vipodozi na urembo kwa ujumla, sababu kwanza naipenda,na ata...
  15. Miss lb4lyf

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya maswala kadhaa katika biashara ya vipodozi

    Habarini,, wakubwa heshima yenu,,, mimi ni muhitimu wa mwaka huu ni binti nna 23 yrs,sina mpango wala fikra kuusu kuajiriwa, naamini zaidi katika kujiajiri(biashara), Nimefanikiwa kuwezeshwa mtaji wa 5M, nataka kuingia kweny biashra ya vipodozi na urembo kwa ujumla, sababu kwanza naipenda, na...
  16. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Msaada: Dogo amepata chaguo la tatu Kidato cha 5. Je, mwisho kuripoti ni lini?

    Wakuu, Mtoto amechaguliwa third selection na TAMISEMI hao, ambayo nadhani imetoka mwezi huu Je, mwisho wa kuripoti shule aliyopangiwa ni lini? Muda umeisha au bado nimpeleke? Naomba kujua niandae hela ya private tu. umofia.
  17. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wakuu msaada wa lift ya kwenda Dodoma Jumatatu

    Wakubwa zangu msaada hali tete Naomba msaada lift ya kwenda Dodoma naomba nichangie hata elfu 7. Ninaenda kwa lengo la usaili.
  18. Njiwa wangu

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kuifunga simu kwa kutumia imei namba

    Naomba msaada wa kufungiwa simu imei namba ninazo ila tu nimesahau email nilioweka maana kuna mtu alichange email na password sina kama unaweza kufanya kazi hii 20000 ipo karibu pm
  19. Mtanzania Mnyonge22

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tunaomba Msaada: Tumedhulumiwa na LE MARAHEB RESTAURANT & more mishahara yetu na kubambikiwa kesi ya jinai na mwajiri wetu mwarabu

    Habari Zenu Wakuu. Mimi na wenzangu 11 tulikua tukifanya kazi mgahawa ambao upo Masaki, unaitwa “LE MARAHEB RESTAURANT & more” unamilikiwa na waarabu wa Yemen. Tarehe 28 January, 2022 ilitokea mzozo kazini majira ya saa 7usiku, baina ya bosi wakike na wafanyakazi huyo mama alitutukana matusi ya...
  20. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kuset autoreply kwa wanaonipigia nikiwa sipatikani

    Habari wakuu Wiki ijayo natarajia kuwa mbali na network. Naomba msaada wa kuset autoreply message ili atayenipigia, aelekezwe kutumia whatsapp call au whatsapp text. Natumia infinix smart 6 Nawasilisha Chief-Mkwawa
Back
Top Bottom