msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Msaada kuhusu mabati aina ya Kiboko

    Wakuu habari zenu na poleni na harakati za kupambana na maisha, Naombeni msaada wenu kwa wale wazoefu katika sekta ya ujenzi kuhusu mabati ya Kiboko. Jana nimeenda kwa wakala nimekuta yanauzwa 27,000 bati moja la msouth 30G na Alaf wanauza 37,000pc 30G difference ya Tshs. 10,000 nikahoji...
  2. S

    Msaada Mwenye picha za decorations ya sebule naomba utupie hapa

    Wakuu mambo vipi nahitaji kudecoration sebule mwenye picha kali za decorations naomba atupie apa niweze kumuonyesha fundi wangu aweze kunijengea.
  3. Msaada, namna ya kuwa register ERB bodi ya wahandisi

    Habari za muda wadau wa jukwaa,naomba kwa anaejua anisaidie namna ya resubmit vyeti vyangu kwenye ukurusa wa erb
  4. Msaada namna ya kuwa register erb bodi ya wahandisi

    Habari za muda huu wakuu,naombeni msaada namna ya kuresubmit vyeti vyangu hapa
  5. Naomba msaada wa jinsi ya kulipia YouTube videos promotion ads Kwa Mpesa

    Rejea kichwa Cha habari hapo juu. Msaada wa jinsi ya kulipia (payment methods) ambayo nitamtumia Mpesa au mobile money YouTube ili nipromote contents zangu Kwa eneo ninalolilenga.
  6. Korea Kaskazini wajitetea kwamba hawajawahi kutoa msaada kwa Urusi

    Jameni maskini Urusi, waliokua wanampa msaada wote wanajitetea na kumkimbia, juzi Iran alijitetea sana jinsi hajamsaidia, naona Korea Kaskazini naye kachomoa..... North Korea said on Tuesday it has never had arms dealings with Russia and has no plans to do so, its state media reported, after...
  7. C

    Natafuta kazi yoyote katika sekta ya ujenzi, na sekta zingine

    Habari wana JF Mimi Ni kijana mwenye umri wa miaka 29, Nina elimu ya BSc CIVIL ENGINEERING, ninatafuta kazi yoyote katika sekta ya ujenzi au sekta yoyote ile ipatikanayo, nimekua nikifanya kazi Kama saidia fundi(kibarua) katika kampuni mbalimbali huku nikisubiri kupangiwa kufanya SEAP...
  8. Mngeomba msaada kwa CDF, angewapa makomando, wangeonyesha uwezo wao na kuokoa wahanga wa ajali ya ndege

    Nampa pole Waziri MKUU na Rais KWA fedheha na aibu tulioipata kama Taifa kwenye hii ajali ya ndege, mengi yameandikwa lakini NIMEONA niwape mbadala kwa siku za mbeleni kama yakitokea kama Hayo tulioyaona! Naamini kama Waziri MKUU angemuomba CDF amsaidie kwenye hili nadhani tungeshuhudia...
  9. Msaada ndugu zangu nimekwama pakubwa. Naombeni mnisaidie

    NAOMBENI MSAADA WAKUU. Natanguliza shukrani. Habari ya Weekend? Baada ya kutoangalia Movie kwa kipindi kirefu sana Cha miaka mi Tano 5. Weekend hii nimejaribu kutafuta movie na kukwama PAKUBWA sana. NILICHUKUA MOVIE KWA RAFIKI YANGU NIKAPANIA KWELI KWENDA KUZIANGALIA. Kufika home kwenye PC...
  10. H

    Msaada wa haraka juu ya upotevu wa PC

    Wakuu za jioni, nilikua nasafiri kutoka kigoma kuja Dodoma na bus la AN Classic. Nilikua na kibeg cha mgongoni Ndani kuna PC aina ya HP kulikua kwenye carrier. Kushuka stand naangalia kwenye beg, PC siioni ila zip imefunguliwa, nimetafta kwenye bus lote sjaona kitu, Msaada wakuu kwenye hali...
  11. Msaada wa Mwanadamu una kikomo

    MSAADA WA MWANADAMU UNA KIKOMO Je, kuna msaada wa milele? -Ni kweli tumesaidiwa sana na watu na tunaendelea kusaidiwa. Ni kweli pia tumewasaidia sana watu na tunaendelea kuwasaidia. Lakini pamoja na hayo yote tunapaswa kutambua kuwa msaada wa mwanadamu una kikomo chake. -Hakuna binadamu yoyote...
  12. Natafuta Web Developer

    Hello, habari pole na majukumu wakuu. Nimekuja mbele yenu natafuta Web Developer ambaye yupo competent tufanye kazi, malipo kila kitu tutamalizana. Kama una ndugu, jamaa au rafiki nipe connection naye tufanye kazi.
  13. Msaada wa vitambaa vya sofa

    Habari, Naomba msaada wa kufahamishwa wapi naweza pata vitambaa vizuri vya sofa vinavyodumu kwa muda mrefu na bei yake. Nitashukuru sana kwa msaada wenu. Ahsante
  14. Msaada wenu wa Haraka Tafadhali

    Ninahitaji kubadilisha Signature. Ambayo nimekuwa natumia miaka yote naona ipo complicated na mimi nimeanzisha kampuni natakiwa sometimes nisaini docs nyingi. So nasign mpaka signature inabadilika na ninachoka sipendi kuwa nasign sana. Nahitaji kubadili signature niwe nayo moja simple tu...
  15. Tusaidianeni kwa hili

    Hapa JamiiForums kupitia huu uzii kwanini upo single na huolewi au huoi tatizo nini. Umelogwa au mvivu wakutafuta mpenzi serious . Maana humu wadar ni wengi na wanasifa zote wadada wanazotaka shida nini? Maelfu ya wanajJF wa kiume ni single wamejenga wanajitahidi kupanda chart wengine...
  16. MSAADA: Natoka usaha na mtambo unawasha sana, dawa yake nini?

    Nina wiki sasa natoka usaha kwenye vyumba vya kubadilishia nguo! Kuna pisi niliikuna sana wiki moja iliyopita sasa nahisi imeniachia unaa! Siyo kosa lake ni ubishi wangu, maana aliniomba sana nivae mpira nikagoma katakata! Nitumie dawa gani?
  17. Naomba makadirio ya malipo ya fundi kwa chumba kimoja

    Wadau naombeni rafu estimates za kumlipa fundi ujenzi nyumba ya kawaida yenye, chumba masters sebule, jiko na stoo. Je, njia nzuri za kuepuka gharama ni kuhesabu tofali alizojenga au maelewamo tu.
  18. Msaada wa windows 10 pro (kama upo arusha)

    Habari wakuu, Naomba msaada wa installation ya windows (10 preferably; ila nikipata nyingine siyo mbaya). Baada ya windows nahitaji drivers zote muhimu. Naweza kukufuata popote ulipo Arusha mjini, kama unaweza kuja Njiro pia siyo mbaya tutengeneze na urafiki kabisa. Kama utahitaji malipo kwa...
  19. Msaada wa windows 10 pro (Kama upo ARUSHA)

    Habari wakuu, Naomba msaada wa installation ya windows (10 preferably; ila nikipata nyingine siyo mbaya). Baada ya windows nahitaji drivers zote muhimu. Naweza kukufuata popote ulipo Arusha mjini, kama unaweza kuja Njiro pia siyo mbaya tutengeneze na urafiki kabisa. Kama utahitaji malipo kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…