Kwa anayejua jinsi ya kulipia matangazo Instagram naomba msaada wako

fundi bishoo

JF-Expert Member
Jun 26, 2018
12,956
22,650
Habari naomba mtu anaejua jinsi ya kulipia matangazo instagram ili kuwafikia wateja au wahitaji wa huduma ninazotoa naomba anielekeze vizuri maana sina utaalamu mkubwa kihivo.

Mwaka jana nilifungua account nikapromote tangazo na likawa limepata viewers wengi sana lakn jinsi ya kuwalipa instagram nikawa nashindwa nkapost tangazo la pili nalo pia likakubali likaenda lakin kwenye kuwalipa ndo nashindwa sa sjui nilikosea wapi ila kuna muda wakanifungia hata kucoment mwsho wa siku nikaifuta ile acc.

Sasa naomba msaada kidogo kwa mwenye uelewa mana nataka nifungue tena account nyngne naombeni muongozo ili tuendelee kupambana na huu umaskini
 
HAIWEZEKANI TANGAZO LIENDE BILA WEWE KULIPIA.... we lako lilienda kvp?
 
No kwenye kukuelekeza 😀😀😀sasa
Jaribu hata kuandika tu please hvhvo tuelekezane maana sasa hakuna namna nielekeze tu kibishi hvhv mengne nutajiongeza hata kwenda youtube ila apo kwenye kuwalipa nalipaje na ilikuaje mpka nikablockiwa kupost
 
Uliweka unawalipa kwa mode gani mastercard, au visa ? Ili uweze kuwalipa ukishatengeneza acc yako ya malipo ili wakate hela hakikisha hiyo acc inakua na pesa

Kwa ushauri tengeneza Mpesa mastercard ni nzuri na itakufaaa ukiweka hela zao huko wanakata direct
 
Aaah apo sawa maana yke kabla sijapost tangazo nihakikishe hela ipo tyr kweny m pesa master card maana mm nilitengeneza m pesa master card mkuu .halafu ile namba niliyosajilia m pesa master card ya mwanzo ndo hii ambayo natumia sasa hv je haiwez kuzngua endapo nitataka kuitumia tena au nifungue mastercard kwa namba ingne..? Tena
 
Badilisha ndugu kama una mpesa ingine weka kama huna basi sajili airtel visa card
 
Back
Top Bottom