Msaada wa kazi wakuu

Ninoma

Member
Aug 29, 2021
9
5
Habari za mida wakuu, niende moja kwa moja kwenye mada. Nahitaji kupata kazi yoyote ya kufanya itakayo nisadia kupata chochote kitu, yaani nipo tu kitaa, sina kazi.

Pia hatakama una kazi yako unaweza nisaidia kwa kunifundisha pia, yaani mpaka sasa sina fani yoyote.

Nina hali ngumu balaa. Mie ni kijana umri wangu 24yrs, jinsia ME, kiwango cha elimu form six, nipo mkoani Songwe
 
Japo me nipo kwenye hiyo hali ila tunapaswa kujua fulsa zilizopo mahari tunapoushi mfano ardhi ya huko inasupport nini na soko lake lipo wapi?

Me naweza kukuambia tafuta miguu ya kuku uza but vipi nature ya watu wa pande hizo wanapenda hizo dokoa dokoa?

Pole ila tunapaswa kujua fulsa zilizopo sehemu tunaishi na tujaribu, tujaribu tena na tena
 
Habari za mida wakuu, niende moja kwa moja kwenye mada. Nahitaji kupata kazi yoyote ya kufanya itakayo nisadia kupata chochote kitu, yaani nipo tu kitaa, sina kazi.

Pia hatakama una kazi yako unaweza nisaidia kwa kunifundisha pia, yaani mpaka sasa sina fani yoyote.

Nina hali ngumu balaa. Mie ni kijana umri wangu 24yrs, jinsia ME, kiwango cha elimu form six, nipo mkoani Songwe
Posta wametangaza ajira....nenda kaombe
 
Mungu akufanyie wepesi.

Binafsi ni kijana kama wewe na ambacho ningependa kukuambia ni kwamba jitahidi kujenga ujuzi katika eneo ambalo unapenda kisha jifunze matumizi ya mitandao ya kijamii.

Halafu anza kutumia mitandao ya kijamii kufundisha ujuzi huo.

Inaweza kuchukua miaka mitano mpaka kusimama vizuri ila ni kitu ambacho kitakusaidia maisha yako yote.

Tenga miaka miwili kujifunza na kufanya. Ndani ya miaka mitano hautakuwa kama ulivyo leo na vyeti utavifungia kabatini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom