ALLY MWINYI
Member
- Aug 10, 2019
- 19
- 18
Naomba msaada wa kisheria.
Ukiwa kama wewe ni mshitakiwa ambapo kesi yako imeshatajwa mara mbili na ulitokea ikahairishwa hadi muda mwengine ndo ianze kusikilizwa, ndani ya muda huo wewe hautakuwa na muda sababu ya jambo lako binafsi (sio lazima niliweke hadharan), ambalo haliwezi kukubaliwa na mahakama ikiwa utalisema.
In short, tuseme tu hutaki kesi yako isikilizwe siku hiyo kwa sababu maalum. Je kuna mbinu gani unazoweza kutumia ikifika siku ya kesi mdhamini wangu akafika mahakamani na kutoa sababu ya kwanini sijatokea mahakamani ili walau ipigwe kalenda hata wiki au zaidi? Au je, mshitakiwa mwenyewe anaweza kutokea na akatoa sababu ili kesi yake ihairishwe siku hiyo?
Note: Kesi ni ya jinai baina ya mdogo mtu (mshitakiwa) na kaka yake (mlalamikaji) hawa wameshare baba mmoja ila mama tofauti, na mdhamini wa mdogo mtu ni mama yake mzazi.
Serious msaada nahitaji.