msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Adolph Jr

    JamiiForums Tanzania Msaada, Naulizia power tiller zuri,lenye nguvu kwa pesa ya Mtanzania

    Wasalaam.. Heri ya pasaka kwa wakristo na waislam tuendelee na al-futar ili mradi kila mmoja afanye kinachomfaa na kumpasa.. Leo nimeamka na mood ya kuendeleza mpango wangu wa mwaka (kilimo) na baada ya kufika shambani kutazama shamba nasikitika tu, mazao ni kidogo mno, nimewaza huwenda nyenzo...
  2. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wenye utaalamu na masuala ya dini je ni kweli Quran imeshushwa kutoka mbinguni?

    Heri ya Pasaka? Heri ya Mfungo kwa WAISLAMU. Ndugu zangu wataalamu wa Masuala ya Biblia na Quran NAOMBENI MSAADA wa hili swali linalonisumbia Daima? JE ni KWELI QURAN ilishushwa kutoka MBINGUNI? 1. Inamaana Mungu alitengeneza karatasi. 2. Akatafuta Penny Compyuta printer nk? 3. Mbona ni...
  3. death strokes

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kuingiza pesa kupitia Mitandao (Online)

    Habari zenu, Kama kichwa cha mada kinavyojieleza hapo juu kama kuna mtu mwenye ujuzi namna ya kuingiza pesa basi nahitaji kujua angalau nielewe hii kitu maana nimekuwa nikisikia sijui online business lakini sielewi chochote. Jamani nahitaji mchango wenu nyie wenzetu wenye ujuzi hata kidogo.
  4. Rose tesha

    JamiiForums Tanzania Vidonda vya tumbo vinaanza kurejea, nifanye nini kukabiliana na changamoto hii?

    Msaada, Mimi ni mhanga wa acid kujaa kwenye tumbo had kupanda kwenye Koo Kwa muda wa miaka miwili. Nilienda hospital mbalimbal bila mafanikio ila nikaenda singida hospital ya itigi wakanipa dawa na vyakula ambavyo natakiwa nisitumie na mpangilio wa kula, kweli nikafanya hivyo baada ya miezi...
  5. Donson

    JamiiForums Tanzania Msaada Kuunganisha V8 Bluetooth game pad kwenye PC

    Habari wakuu, Naombeni msaada jinsi yakuunganisha V8 BLUETOOTH GAME PAD KWENYE PC , nmejaribu manual inavyoelekeza Kama nolivyoambatanisha kwenye picha lakini nmeambulia patupu Upande wa PC
  6. Donson

    JamiiForums Tanzania Msaada Kuunganisha V8 Bluetooth game pad kweye PC

    Habari wakuu, Naombeni msaada jinsi yakuunganisha V8 BLUETOOTH GAME PAD KWENYE PC , nmejaribu manual inavyoelekeza Kama nolivyoambatanisha kwenye picha lakini nmeambulia patupu Upande wa PC
  7. desmond3076

    JamiiForums Tanzania Msaada: Rafiki yangu anasumbuliwa na fangasi ukeni

    Wapendwa wana Jamii Forums salaam, Ninaomba msaada wa matibabu au ushauri nini afanye, ndugu yangu huyu na mtu wa karibu, maana najua humu kuna madaktari bingwa wa magonjwa ya kinamama. Rafiki yangu anasumbuliwa na fangasi ukeni, yaani ameshatumia kila dawa lakini hapati auheni. Hali inakuwa...
  8. bysange

    JamiiForums Tanzania ALPHARD AU BREVIS MSAADA TAFADHALI.

    Bila shaka mfungo wa leo imekamilika salama yaani kwa Resma na mwezi mtukufu wa Ramadhani.Nisiwachoshe sana wakuu,mawazo yenu ni muhimu hapa kati ALPHARD na BREVIS kwa sifa ya 1.ubora wa injini 2.matumizi. ya mafuta 3.upatikanaji wa vipuli 4.lipi linastahimili mazingira ya vijijini zaidi Kwa...
  9. jashmoe32

    JamiiForums Tanzania Msaada wa whatsapp katika Nokia 3310

    Naomba msaada wa mtu mwenye uwezo ww kuweka whatsapp katika nokia 3310
  10. Brightly

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba mbinu za kujiandaa na written interview utumishi

    Habarii wakuu; Naombenii msaada Mbinu za kujiandaa na written interview utumishi vitu gani unatakiwa kuvizingatiaa zaidii?
  11. Vumbi la congo

    JamiiForums Tanzania Msaada Maji ya vitunguu swaumu na mafua

    Wakuu habari zenu, nimepata katoto kwa uwezo wa Mungu ila namuona anapiga chafya sana. Nimeambiwa kuwa ndivyo inavyotakiwa apige chafya ila nahofia mwanangu aaije akapata mafua itamsumbua kunyonya, umri wake bado mdogo hata wiki hana, sasa kuna mtu alisema ili kumkinga mtoto dhidi ya mafua...
  12. Akabi kemanya

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye uzoefu wa kampuni ya kusafirisha mizigo

    Wakuu nawasalimu kwa jina la Jamuhuri, Nielekee kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyo jieleza Mimi natami kuanzisha kampuni ya usafirishaji wa mizigo ndani ya nchi ila changamoto kubwa kwangu sina uzoefu wa hii kazi kwa mwenye uzoefu tafadhari Nivitugani vya kuzingatia kabla na baada ya...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Ni lugha zipi za kigeni zenye manufaa na zenye fursa hapa Tanzania?

    Habari za wakati huu wana JF. Samahani sana naombeni msaada wenu, nahitaji kuwa mtaalamu wa lugha za kigeni(kusoma, kuandika na kuongea kwa ufasaha) na nipo tayari kuanza kujifunza mwezi huu (mwezi wa nne). Je, ni lugha zipi za kigeni zenye manufaa na zenye fursa hapa nchini kwetu. Natashukuru...
  14. Zingzingzing

    JamiiForums Tanzania Songea: Wanafunzi waliopatiwa dawa za meno za msaada watakiwa kurudisha mara moja

    Baada ya wadau wasiofahamika bado kuwa ni kutoka taasisi ipi kugawa dawa za meno na miswaki kwa shule za.msingi Songea. Leo imetoka taarifa kwa walimu wakuu kuwataka kuwaambia wanafunz hao warudishe vitu hivyo mara moja. Bado haijajulikana zaidi kwann hili limekua hivi hadi sasa.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Walambisha asali na walamba asali wakimzuga Kamala Harris kuwa Tanzania kuna Demokrasia ili atoe msaada wa tri 1.3

  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ampokea Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, Ikulu Dar es Salaam leo Machi 30, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpokea Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, Ikulu Dar es salaam leo Machi 30, 2023 Rais Samia ameishukuru Serikali ya Marekani kupitia misaada na uwezekaji wa aina mbalimbali unaofanyika nchini. Serikali ya Tanzania...
  17. Tryagain

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG 2021-2022; Waziri Mkuu hana msaada kwa Rais, Baraza livunjwe

    Kama kuna siku Mheshimiwa Rais ameongea kwa uchungu sana ni leo. Ni wazi kuwa Waziri Mkuu na wizara hazimsaidii kabisa wako busy tu kupiga hela kwenye miradi mikubwa makubwa haya Kodi ya zuio ilipwe hata hawa JKT walipe Mashirika yote yalipe hila exception Deni la serikali - tunakopa kwa...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Miguu kutoa harufu

    Habari za midaa wakuu, ninashida ya miguu & viatu kutoa harufu baada ya kuvaa, hata nikivaa masaa 6 baada ya kuvua lazima vitoe harufu. Mwenye anajua tiba naomba maelezo
  19. DEICHMANN

    JamiiForums Tanzania Natafuta App inaitwa dexcon tun 8

    Habarini Naomba mwenye link ya App inaitwa dexcon tun 8 nimeitafuta sijaipata bila mafanikio.
  20. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Malalamiko ya mfumuko wa bei yakizidi maana yake sekta Binafsi sio msaada kwa wananchi! Serikali iingie mzigoni kuleta ushindani!

    We JARIBU kufikiri Eti mafuta juu,vyakula juu kisa sekta Binafsi inatafuta faida kubwa kwa kuwanyonya wananchi! Una jkt,magereza,watoto wa mitaani wanaokua Panyaroad halafu Eti unashindwa kuwatumia hao kuzalisha na kuwa price regulator wa bidhaa nchini!unaachia sekta Binafsi PEKEE uamue hatma...
Back
Top Bottom