Msaada kwa Bwana Mdogo na Gari yake

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Sep 11, 2017
1,694
3,982
Anataka kubadili gearbox ATF. Automatic Trans. Fluid. Gari ni Toyota Rumion ya Mwaka 2008. Ya CC 1800

Anasema anahitaji ile yenyewe kabisa yenye ubora halisi. Haijalishi bei anataka kitu bora. Sasa aliniuliza.mimi sijawahi fikia hatua ya kubadilisha kwa gari nliyo nayo ambayo nayo ni CVT but ni Vanguard.

Anataja oil za Castrol na Toyota. Wataalamu ushauri wenu.
 
ATF nenda Toyota Kariakoo utapata, Lita 5 kama 90k hadi 120k

Screenshot_20230217-211836.png
 
Anataka kubadili gearbox ATF. Automatic Trans. Fluid. Gari ni Toyota Rumion ya Mwaka 2008. Ya CC 1800

Anasema anahitaji ile yenyewe kabisa yenye ubora halisi. Haijalishi bei anataka kitu bora. Sasa aliniuliza.mimi sijawahi fikia hatua ya kubadilisha kwa gari nliyo nayo ambayo nayo ni CVT but ni Vanguard.

Anataja oil za Castrol na Toyota. Wataalamu ushauri wenu.
Kama hajatembelea sana atulie tu, CVT siyo gearbox za kubadilibadili Oil ukijisikia.

Watu wanagonga 100k bila shida na bila kubadili Oil.
 
Anataka kubadili gearbox ATF. Automatic Trans. Fluid. Gari ni Toyota Rumion ya Mwaka 2008. Ya CC 1800

Anasema anahitaji ile yenyewe kabisa yenye ubora halisi. Haijalishi bei anataka kitu bora. Sasa aliniuliza.mimi sijawahi fikia hatua ya kubadilisha kwa gari nliyo nayo ambayo nayo ni CVT but ni Vanguard.

Anataja oil za Castrol na Toyota. Wataalamu ushauri wenu.
Asije thubutu kuweka transmission fluid sijui Castrol wala total..wala any universal transmission fluid kwenye gearbox ya cvt (CVT transmission ipo na different mechanisms ya ku transmit engine power to wheels.. yenyewe inatumia toothless belt ku transmit power therefore kwakua ni toothless fluid ya cvt inaipa ile belt necessary friction grip between pulleys where the belt revolving around na kuweka pressure kwenye clutches ili iwe na uwezo kusafirsha power to wheels, ni tofauti na traditional/conventional ATF transmission ambazo zenyewe zipo na tooth gears so ATF fluid inafanya tu kazi ya kupush clutches ile ziwe tight kuruhusu power transmission)

Therefore, transmission system ya CVT unaweka recommended fluid ya manufacturer tu..yaan kama ni CVT TC au CVT-FE (depending on model).pia ujue CVT fluid ina kaaa muda mrefu..labda niulize gari yake ina km ngapi kwasasa?

Pia kama anataka badirisha cvt fluids anaweza enda kariakoo akanunue cvt tc/fe inauzwa 50k ila akienda madukani watamuuzia 80k to 120k.

Note: hii gari pale kwenye eneo la kuingozia transmission fluid (filling hole) kuna bolt size 22 imeandikwa fluid inaYoingia kwenye hiyo Gari either FE or TC..so utayokuta imeandikwa hapo ndio itakayo takiwa kuwekwa humo ndani.
 
Asije thubutu kuweka transmission fluid sijui Castrol wala total..wala any universal transmission fluid kwenye guarbox ya cvt
.. transmission system ya CVT unaweka recommended fluid ya manufacturer tu..yaan kama ni CVT TC au CVT-FE (depending on model).pia ujue CVT fluid ina kaaa muda mrefu..labda niulize gari yake ina km ngapi kwasasa?

Pia kama anataka badirisha cvt fluids anaweza enda kariakoo akanunue cvt tc/fe inauzwa 50k ila akienda madukani watamuuzia 80k to 120k.

Note: hii gari pale kwenye eneo la kuingozia transmission fluid (filling hole) kuna bolt size 22 imeandikwa fluid inaYoingia kwenye hiyo Gari either FR or TC..so utayokuta imeandikwa hapo ndio itakayo takiwa kuwekwa humo ndani.
Kuna leakage so imepungua. Anataka atatue leakeage so automatically itabidi aweke na CVT OIL nyingine
 
Leak? Amepima level kujua ipo kiasi gani mkuu?

Hii gari haiji na normal deep stick kupima level ya fluid, bali pale kwenye draining hole(sehemu ya kumwagia oil) ukifungua ile nati ya kumwagia transmission fluid, kuna tube kwa ndani (tunaita overflow tube) ile tube ndo deep stick yake..yaan il e tube inqvofanya kazi ni hivi ukifungua koki ile ya kumwaga oil kabla hujatoa ile tube maana yake ile oil itakayotoka kwa mara ya kwanza ni oil iliyozidi kwenye transmission system, so kujua kama imepungua inabidi afungue kile kikoki cha kumwagia oil akiona kuna oil inatoka basi ajue transmission fluid ipo yakutosha na asipaniki...but akiona akitoki kitu maana yake ni oil ipo level inaYotakiwa...

Kumbuka hili zoezi lifanywe baada ya transmission fluid ku attain operating temperature kwakua fluid at operating temperature inakua ime expand na kuongezeka volume.so you want to know the appropriate level of transmission fluid when fluid is at operating temperature.. na pia wakati unafanya hili zoezi gari iwe kwenye flat surface ili upate majibu accurate.

Hili zoezi pia linafanywa hata wakati wa ku replace/change transmission fluid...ili kujua level unafanya procedures hapo juu.. ambapo fundi mara baada ya kuweka gearbox oil (transmission fluid) anatakiwa aendeshe gari ili kufanya fluid ipate joto then arudi afungue ile koki kwenye flat surface, kuna fluid itamwagika so ile fluid illiyo mwagika ina kua termed as excess fluid ambayo haitakiwi kuwa kwenye transmission fluid baada ya hapo you are ready to go(hizi procedures ni kwa gari isiyo kua na deep stick)... Na kwa gari zenye deep stick utakuta imeandikwa ile deep stick fluid iwe wap when COLD and when HOT, be much interested na level ya fluid when hot...the readings should within the required marks indicated on deep stick and not above..ikizidi una kua na risk ya kuua seals za transmission system na kujikuta unapata leaks kila sehemu.

Kumbuka overfilled transmission system can also cause leaks na blown seals.
 
Hajajua level sababu hii haina deep stick. Anasema itakuwa seal imekauka.so inabidi kuweka seal nyingine. Na hapo maana yake hawezi rudisha the same oil. Itabidi aweke nyingine.
 
Mkuu upo vzr sana ktk hz CVT, sasa km imelowa yaani eneo lile la Trans" Oil Pan kwa chini, inawezekana ikawa oilseal au ume overflow, maana kuto kuepo dipstick imekua ni mtuhani kweli kupata majibu, na mafundi nao hawanyooshi maelezo ni kutaka afungue tu, wkt Oil yenyewe inatakiwa iwe original na bei ime simama
 
Back
Top Bottom