msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McFerson

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Nina kibamia

    Salama wakuu Ni hivi, umri unaenda naelekea miaka 30 maumbile yangu (kichakatio) hayaridhishi(membamba na mafufupi). Yaani hata sina confidence mbele ya demu nikiwa naked. Sasa baada ya kutembelea Instagram muda mrefu na kukutana na matangazo ya kukuza mshedede nimevutiwa sana nikaona sio...
  2. Mributz

    JamiiForums Tanzania Aliyeolewa akaachika miaka 7 sasa imepita ila hakupewa talaka, Anataka nimuoe. Je, naweza kumuoa?

    Naishi naye huu mwaka wa 3 bila ya ndoa. Hadithi yake ya nyuma ipo hivi " Alioelewa akiwa na miaka 17 baada ya kupewa ujauzito na uyo jamaa na wakaishi wote miaka 8 kwenye ndoa na kuzaa watoto wawili. Sababu ya kuachana uyo jamaa alianza kula madawa ya kulevya ndugu wakampeleka sober akarudi...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Nataka kusoma Clinical Medicine. Je, hali ya ajira ikoje?

    Nimemaliza form four, nina ufaulu wa division 1.16 Biology A Chemistry A Physics C Ninawish kusoma afya course ya clinical medicine. Je kwa hali ya ajira sasa hivi inaweza kuwa niko sahihi kusomea hiyo course? Au Kuna course gani ya diploma ni nzuri Kwa wakati huu kutokana na ufaulu niliopata?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani: Itel A58

    Msaada tutani waungwana. Hapa ni screenshot ya Simu iTel A58 - android kwa juu: 1. Kushoto juu ni saa 22:19 2. Kinachofuata ni ki icon cha nini na kinatoka vipi? 3. Kinachofuata ni notification ya WhatsApp kuwa kuna new message. 4. Kinachofuata ni ki icon cha nini na kinatoka vipi? Tupeane...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kilimo cha vitunguu Kilosa

    Heshima kwenu wanabodi, kama heading inavyojieleza nina malengo ya kwenda kulima vitunguu Kilosa mwaka huu ila sina mwenyewe was kunipa ABC za huko kuhusu hichi kilimo, ikiwemo wakati sahihi was kuanza kilimo, upatikanaji wa mashamba na gharama zake na vijana wasaidizi. Msaada wanabodi
  6. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata wadudu wanaobungua choroko au kunde kwa ajili ya tafiti za kilimo

    Habari zenu wana jamvi. Mimi ni mtafiti katika chuo cha kilimo. Ninaomba msaada kwa suala lifuatalo; Kwa mkulima yeyote wa zao la choroko au kunde ambazo zimebunguliwa (kutobolewa) zikiwa pamoja na wadudu maarufu kama bungua (wawe wengi kidogo) kama wanavyo onekana kwenye picha chini. Wadudu...
  7. kilamba lamba

    JamiiForums Tanzania Ishawahi kukutokea hii? Msaada tafadhali

    Habarini wana Jamvi. Natumai mu wazima sana. Bila kupepesa maneno .Niende moja kwa moja kwenye point. Ewe mwanaume, ishawahi kukutokea upo faragha na ukashindwa kupata hisia kabisa na mtu uliyekuwa nae? Huyu Ni mpenzi wangu kabisa. Lakini cha kushangaza mashine ilikuwa vizuri tu imejiandaa...
  8. Jicholamwewe

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata connection ya kazi nje

    Wakuu poleni na majukumu ya hapa na pale.wakuu yeyote ambaye ana mwangaza wowote au connection za kwenda nje hata kuzamia kutafuta life naomba anisaidie sababu na ndoto ya kutafuta life katika nchi za Europe, USA,Canada. Kama utaguswa kunisaidia nitashukuru sana.Nina miaka 24 nimesomea maabara...
  9. God over everything

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada

    Jamani nimeshikika, Nadaiwa Kodi ya miezi mi3 na nimepewa Notice ya kuondoka tarehe 15 Tafadhali nisaidieni mchongo wa Kibarua chenye malipo kwa siku. Nipo tayari kufanya kazi yoyote Ile. Mungu awatangulie 🙏 Location: NIpo DSM
  10. Patra31

    JamiiForums Tanzania Msaada wa tatizo la miguu kuwasha

    Naomba msaada wa riba ya kuwashwa kwa miguu. Ni wiki wa tatu sasa miguu inawasha pasipo sababu hakuna vipele wala alama zozote za kuashiria fungus. Mwanzo nilihisi labda ni socks Ila nina kama wiki kama 2 sijavaa socks lakini bado miguu inawasha
  11. God over everything

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, kibarua, msaada

    Amani iwe nasi Watu wa Mungu. Nimerudi Tena Ndugu yenu, Bado sijabahatika kupata KAZI/kibarua. Nimeandamwa na madeni ya Kodi, service charges na madeni mengi ninapoishi. Naomba mwenye kunisaidia kibarua hata saidia fundi, nitashukuru sana. Naishi Dar es salaam, Elimu kidato cha 6. Mbarikiwe...
  12. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Kichefuchefu, msaada wa haraka

    Wadau Mimi ni dume ila huwa natambua kupata kichefuchefu baadhi ya masiku ila sio sana lakini leo kimenijaa sana hivi tatizo linaweza kuwa nini? Je linaweza kufanya vidonda vya tumbo Mapenzi nina miezi sijaweka kwa hewa je linaweza kuwa tatizo? Msaada wadau
  13. C

    JamiiForums Tanzania Nimepooza kiuno hadi chini, msaada tafadhali

    Msaada jamani mwezi wa sita huu nimefanya matibabu ya kila aina, hospital paliponifilisi na mri scan, dawa za asili na kisuuna hadi maombi. Nakata tamaa sasa
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania China yaonywa katu isithubutu kuipa Urusi msaada wa silaha, itakiona

    Urusi kwa sasa inatapatapa ikiomba msaada kote hadi kwa maustadh wa Syria na Palestina, juzi kumeibuka tetesi kwamba China inawaza kuipa Urusi huo msaada wa silaha, ila onyo kali limetolewa...thubutuu!!!.... muacheni Mrusi ajifie maana kalianzisha mwenyewe... Kubwa la magaidi Iran lilishapigwa...
  15. Jicholamwewe

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata connection nje ya nchi

    Wakuu poleni kwa majukumu. Bila kupoteza mda .naomba yeyote mwenye connection au anayefaham connection za kwenda nje ya nchi. Europe, USA pia Canada. Naomba anisaidie kazi yoyote nitafanya hata kubeba box.namejalibu sana kuapply kazi lakani bado sijafanikiwa na bado sijakata tamaa.picha hapo...
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania Fei Toto anahitaji msaada wa maombi

    Kijana amevurugwa kichwa, wenye hela wamemvuruga moyo, pepo la fedha nyingi za ghafla likamrukia shingoni. Hapo alipofikia Sasa hahitaji msaada wa wanasheria bali wanamaombi ili kumtoa pepo la tamaa na choyo lililomfunika. Wanasheria watamharibia zaidi kipaji chache. Fei Toto anahitaji watu...
  17. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa IT naombeni msaada

    Habari... Jumamosi nilikua naitumia Tarakirishi mpakato usiku nikaizima after hours ikiwa nzima kabisa. Jumapili jioni nikaiwasha niitumie lakini ikawa inaonyesha logo kidogo then inakuja rangi nyeupe kwenye kioo kizima (White Screen of Death) Ikiwa hivyo huwezi kuona lololote wala kufanya...
  18. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Kuomba msaada wa bure kwa Fatma Karume. Je, Fei ameshindwana na wakili wake au hamuamini?

    Baada ya Fatma kutoka kwenye kikao cha review ya hukumu ya mchezaji Feisal Salum dhidi ya Waajiri wake Klabu ya Yanga, Wakili Fatuma Karume maarufu kama 'Shangazi' aliyekuwa upande wa Fei Toto amesema: "Tumemaliza tulichokuwa tunakifanya, tumewaachia wao watafakri upya, mimi nina mwakilisha tu...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: Matokeo yatu hayaonekani NACTE. Tuchukue hatua gani?

    Nimehitimu diploma katika chuo cha kati cha private fani ya mifugo mwaka 2022. Baada ya matokeo kutoka mimi pamoja na wenzangu (classmates) tukiangalia verification zetu NACTE tunaonekana tumeishia kusoma mwaka wa 1 semister 1. Tukiulizia chuo tunaambiwa wao chuo matokeo tayari walishapeleka...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata soko la mazao ya bustani nchi za nje

    Habari wanandugu, mimi ni kijana ninamiliki shamba lenye ekari 25. Nimeplan kulima kilimo cha umwagiliaji na nina tamani kusafirisha mazao yangu nje. Hivyo nilikua naomba kama kuna mwenye ABC za namna ya kupata markets nchi za nje anisaidie.
Back
Top Bottom