Raia wa Pakistan asiyejulikana anayeishi Marekani atoa msaada wa zaidi ya bilioni 60 kwa wahanga wa Tetemeko la Uturuki

The lost

JF-Expert Member
Jul 3, 2017
2,695
8,209
Wakuu haya ndiyo matendo makuu sasa, fanya mambo kisha unapotea. Mwanaume mmoja ametembelea ubalozi wa Uturuki nchini Marekani na kutoa msaada wa Dola za Kimarekani milioni 30 (zaidi ya bilion 60 za Kitanzani).

Msaada huo ni kwa ajili ya huduma za kiutu kwa wahanga wa Tetemeko la Ardhi. Mtu huyo ambaye hakujulikana utambulisho wake amewaacha mdomo wazi watu wengi ikiwemo serikali ya Pakistan ambayo inakabiliwa na upungufu mkubwa wa pesa za kigeni. Pakistani imebakiwa na hazina ya pesa za kigeni Dola za Marekani bilion 3 pekee kiasi ambacho ni kidogo kuwahi kushuhudiwa.

=======

Pakistani living in the United States went to the Turkish Embassy to anonymously donate $30 million to those affected by a massive and deadly earthquake that hit Turkey and Syria earlier this week, according to Pakistan's Prime Minister Shehbaz Sharif.

In a tweet on Saturday, Sharif said he was "Deeply moved" by the act.

Turkish President Recep Tayyip Erdogan has called the earthquake "the disaster of the century."

As millions face displacement from the disaster, donating money is the most efficient way to support survivors, and the organizations are providing aid in the region, Insider reported.
 
Huyu katumwa na yule billionia wa Utruki alietaka kupindua serikali ya uturuki miaka minne nyuma na kapewa taarifa na Urusi, alivyo detect mitambo ya vita inaamishwa, huyu jama anaishi Marekani ni tajiri kuliko maelezo. Analindwa na serikali ya Marekani ilikataa kumkabidhi serikali ya uturuki, ndo chanzo cha ugomvi wa uturuki na US.
 
Back
Top Bottom