Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 18,659
- 20,995
Asalaam aleykum, na ijumaa kareem jamiya!
Habarini,
Kuna malipo nilifanya kwa chuo fulani kiasi cha shs 500,000/-mwaka jana may, utaratibu wangu ni kuwa baada ya kulipa nmb wakala, huipiga picha pay in slip na kuituma kwa muhusika naye hui print na kuiwakilisha chuoni na ndipo huruhusiwa kupiga hatua fulani za masomo yao,
Sasa baada ya kufanya malipo hayo mwezi may mwaka jana, katika kaguzi zao hapo chuoni wamekuta ya kijana haikuwakilishwa, ajabu ni kuwa kama haikuwakilishwa asingelikuwepo chuoni mpaka muda huu,
N. B, vyuo huwa viko makini sana na ADA kuliko chochote kile, pia bahati mbaya receipt ile ya tokea mwaka jana imenipotea, kwa issue ya namna hii naweza kufanyaje kupata kopi ili niwakilishe tena chuoni, malipo nilifanya mwaka jana mwezi wa tano, tarehe nimepoteza kwa kweli
Msaada pls.