China yaendelea kuomba isije ikaeleweka vibaya, imejitetea mara kadhaa sasa kwamba haijawahi kuwa na nia ya kutoa misaada ya silaha kwa Urusi......
Aisei Mrusi analo....Kwa sasa hivi hata fununu kuhusu nchi yoyote kwamba inampa msaada Putin itakua kwenye tabu...hata mataifa ya Kiarabu...
Habari wanajamvi! Kuna mdogo wangu ni Mwalimu wa ngazi ya Diploma katika Shule ya Msingi. Ameajiriwa miaka ya karibuni. Anataka kujiendeleza kielimu Open University katika kozi ya Bachelor of Business Administration with Education huku masomo ya kufundishia yakiwa ni Bookeeping na Commerce . Ila...
Wakuu habari zenu, naomba msaada, ni kuhusu tatizo alilonalo mke wangu.
Ana ujauzito wa takribani wiki 7 tatizo lake nikwamba anusumbuliwa na tumbo sana eneo la kuzunguka kitovu, hata baada ya kula kidogo tu anahisi maumivu ya tumbo sana, tatizo hili liliwahi kutokea na kupelekea ujauzito...
Habari Ndugu Zangu
Nataka Kufanya Biashara ya Simu used Kutoka Dubai, Naomba msaada wa vitu vifuatavyo.
1. Jinsi ya kupata connection ya kuagiza vitu hivyo Kutoka Dubai
2. Mtaji unaohitajika (Kima Cha chini ya Mtaji)
3. Je, Biashara hii Ina Faida nzuri?
Habari wataalamu wa Afya,
Nina Mgonjwa Anasumbuliwa sana Na Appendex. Hayupo tayari kufanyiwa Operation. Kulingana na Athari za Operation kwenye mwili. Japo ni operation ndogo lakini amekataa katakata kufanyiwa Operation.
MSAADA KWA MTU ANAYEWEZA KUTUSAIDIA KUPATA DAWA ZA MITISHAMBA ZENYE...
Habari wana JamiiForums,
Hivi majuzi account yangu ya Gmail ilifanya malipo kwenye airtel money kupitia google Play kwa app ambauo niliidownload playstore ambayo sikuwa awareness na kuchukua kiasi kikubwa cha fedha.
Niliwasiliana na networ provider yangu nikaambiwa niwasiliane na google play...
Hodi na Salamu Members.
Mimi ni kijana wa kiume (27), Elimu yangu ni ya Secondary.
Nimekuja kwenu Kuomba Connection ya Kibarua cha kulipwa kwa siku, Nimeandamwa na msururu wa Madeni ya Kodi na kwa mangi.
Nipo tayari kufanya Majukumu yoyote ilimradi yasikiuke Utu na sheria za nchi.
Mungu...
Habari wajukwaa, nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kama kichwChcha uzi kinavyoeleza hivi maana ya usemi huo hapo juu una maana gani? Na je, kuna uhusiano na maisha yetu ya Kila siku?
Nimekua nikiusikia watu wengi wakiutumia kwa mazoea pasina kujua maana maana halisi...
Kijana wangu alikuwa amebebwa na Bodaboda (pikipiki) pamoja na wenzake wawili wanakwenda shule (mshikaki). Gari likamgonga bodaboda kwa nyuma, mtoto akaanguka na kuumia . (by the way mmoja alikufa na mwingine escaped unhurt)
Msaada: Katika scenario kama hiyo namshitaki nani? Bodadoda au mwenye...
Naombeni kunijuza izo picha mbili chini ni tofauti lakini zinatoa information ya kitu 1 yan ni hivi ninasimu ya Oppo A 83 ambayo storage ya ndani inaonesha 128GB ram6 lakini ukiingia gsmrena ukiangalia specification inaonesha tolrola simu iyo mwisho storage 64GB kama pichaya1 apo chini inavyo...
Waungwana heri ya pasaka na mfungo mwema kwa kila muhusika.
Kwa anaemjua fundi wa mlango wa porte ambao umeacha kujifungua automatically. Awe dar tafadhali.
Shukran za dhati za awali.
Cc: Extrovert
Jamani nahitaji kufahamu, nina simu ya Oppo A83 ina Ram6 na storage 128 lakini kinachonishangaza ukidawnload fail la file manager linakuonesha 64GB ndo storage, sasa sijaelewa hapo nisaidieni wajuzi.
Wakuu nawasalimu,
Heri ya sikukukuu ya Pasaka. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba msaada nataka kuanza kilimo cha maharage na target yangu ni kupata gunia zisizopungua 100, naomba kusaidiwa ni hekali ngapi zitanifikisha katika hyo target?
Palizi yake ni mara ngap, mavuno ni baada ya...
Wasalaam..
Heri ya pasaka kwa wakristo na waislam tuendelee na al-futar ili mradi kila mmoja afanye kinachomfaa na kumpasa..
Leo nimeamka na mood ya kuendeleza mpango wangu wa mwaka (kilimo) na baada ya kufika shambani kutazama shamba nasikitika tu, mazao ni kidogo mno, nimewaza huwenda nyenzo...
Heri ya Pasaka?
Heri ya Mfungo kwa WAISLAMU.
Ndugu zangu wataalamu wa Masuala ya Biblia na Quran NAOMBENI MSAADA wa hili swali linalonisumbia Daima?
JE ni KWELI QURAN ilishushwa kutoka MBINGUNI?
1. Inamaana Mungu alitengeneza karatasi.
2. Akatafuta Penny Compyuta printer nk?
3. Mbona ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.