China yaendelea kujitetea haijawahi kuwa na lengo la kutoa msaada wa sila Urusi

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,681
48,478
China yaendelea kuomba isije ikaeleweka vibaya, imejitetea mara kadhaa sasa kwamba haijawahi kuwa na nia ya kutoa misaada ya silaha kwa Urusi......
Aisei Mrusi analo....Kwa sasa hivi hata fununu kuhusu nchi yoyote kwamba inampa msaada Putin itakua kwenye tabu...hata mataifa ya Kiarabu yameufyata, ikiwemo kubwa la magaidi Iran limekalishwa na zile drones zake....
==========================

The Chinese government has said it would not provide weapons to Russia to support the country’s ongoing invasion of Ukraine, now or in the future.

“We do not and will not supply weapons to parties in conflict,” said Foreign Minister Qin Gang after almost two hours of talks with German Foreign Minister Annalena Baerbock in Beijing.

He said that dual-use goods, which could be used for civilian as well as military purposes, were controlled by law.

The Chinese role in Ukraine was to promote reconciliation and advance peace negotiations, said Qin Gang.

“We will not continue to pour oil on the fire,” he said.

His comments came after Baerbock urged China to more strongly encourage Russian President Vladimir Putin to end the Kremlin’s war on Ukraine.

Hii vita ni kama world war 111 sema tu ni mwamba nations are fighting indirectly,against rashia kingine ninacho kiona ni mwamba China hawezi msaliti mrusi atakacho sema mchina kwa wazungu kuhusu China is just the hoax .

Mzungu ndiye master wa hoax, anakujua mpaka ndani chumbani hauwezi kumdanganya, hivyo Mchina lazima ajitetee amuache huyo "Rashia" ateseke mwenyewe......
 
Hii vita ni kama world war 111 sema tu ni mwamba nations are fighting indirectly,against rashia kingine ninacho kiona ni mwamba China hawezi msaliti mrusi atakacho sema mchina kwa wazungu kuhusu China is just the hoax .
wazungu walitoa uhuru kwa makolon yao kwa mipango waliacha chembe chembe zao na nchi zilizojaribu kuondoa chembe chembe za wakolon ndo ziliishia kwenye civil wars , So usitarajie mzungu asimjue China kama aliweza kuijua Urusi na mipango yake ya kuivamia Ukraine
 
Urusi hajawapa NATO sababu za wao kuingia kwenye huu ugomvi, kwa sasa amelemazwa na kainchi kadogo Ukraine.
Tofauti ni kuwa mashariki haiwezi kujiungaunga kwa ajiri ya kababe kamoja ka magharibi ila magharibi hujiungaunga kwa ajiri ya kababe kamoja ka mashariki. Anayejiamini hahitaji kujiungaunga ili akichape
 
Magharibi imekua ikipoteza muda wake wa kujiunga kwenye muungano wa NATO pale walidhani Urusi ni mnyama mkali kumbe hana lolote. Kiukweli siku zote niliogopa sana Urusi, nilikua nawaona kama wababe, walitegemewa sana na waarabu kumbe useless tu.
 
Kubwa jinga huu urafiki huutaki kabisa lkn ndo haiwezekani,, chuki zako nyuma ya keyboard ushakula sukuma wiki yako na ugali hapo kwenu kibera hazitobadilidha chochote juu ya huu urafiki nakwambia..
FB_IMG_16793143800508312.jpg
 
China yaendelea kuomba isije ikaeleweka vibaya, imejitetea mara kadhaa sasa kwamba haijawahi kuwa na nia ya kutoa misaada ya silaha kwa Urusi......
Aisei Mrusi analo....Kwa sasa hivi hata fununu kuhusu nchi yoyote kwamba inampa msaada Putin itakua kwenye tabu...hata mataifa ya Kiarabu yameufyata, ikiwemo kubwa la magaidi Iran limekalishwa na zile drones zake....
==========================

The Chinese government has said it would not provide weapons to Russia to support the country’s ongoing invasion of Ukraine, now or in the future.

“We do not and will not supply weapons to parties in conflict,” said Foreign Minister Qin Gang after almost two hours of talks with German Foreign Minister Annalena Baerbock in Beijing.

He said that dual-use goods, which could be used for civilian as well as military purposes, were controlled by law.

The Chinese role in Ukraine was to promote reconciliation and advance peace negotiations, said Qin Gang.

“We will not continue to pour oil on the fire,” he said.

His comments came after Baerbock urged China to more strongly encourage Russian President Vladimir Putin to end the Kremlin’s war on Ukraine.

Nilisha kwambia kwamba habari zako za ku-copy copy na wakati mwingine kuongeza chumvi kwenye habari zenyewe hazitakusadia wewe wala SMS za mabeberu kushinda vita nchini Ukraine mfano wewe unatujiaga tujiaga na highly questionable source za site ya Bill Gates mara zote unaqoute URL hii sijui kwa nini, watu si wajinga kivile.

Nikwambie kitu: Any level headed person knows kwamba Chinese will always stand by Russian side come rain or shine - acheni kudanganya watu - Viongozi wakuu wa Uchina waliwahi kuitangangazia Dunia kwamba Russia ina uwezo mkubwa sana kijeshi wala hawaitaji msaada wowote kijeshi/silaha kutoka Uchina, msikilizeni kwa umakani Putin aliyo wahi kuyasema - aliwahi kusema Russia itashinda na kutimiza malengo yake ya SMO bila ya kujali itachukua muda gani - lakini baadhi ya mavuvuzela wanatujia na stori za Alinacha eti:putin aliwahi kusema operation hii itakalamilika ndani ya masaa 72 - ulaghai mtupu, ni wapi Putin aliwahi kuitangazia Dunia time frame ya kumaliza vita baina yake na Ukraine - wapi?l
 
Sasa na wewe wapi Putin alisema Russia itashinda na kutimiza malengo yake ya SMO bila ya kujali itachukua muda gani?
 
Kama una nia nzuri ya kujua Putin hayo kayasema lini tafuta mwenyewe kwenye mtandao mradi nimekwisha kupa a clue/lead - lakini kama una lengo la kubishi tu basi hiyo naona hatatafika mbali wakati kila kitu kinapatikana kwenye mtandao.
 
Nilisha kwambia kwamba habari zako za ku-copy copy na wakati mwingine kuongeza chumvi kwenye habari zenyewe hazitakusadia wewe wala SMS za mabeberu kushinda vita nchini Ukraine mfano wewe unatujiaga tujiaga na highly questionable source za site ya Bill Gates mara zote unaqoute URL hii sijui kwa nini, watu si wajinga kivile.

Nikwambie kitu: Any level headed person knows kwamba Chinese will always stand by Russian side come rain or shine - acheni kudanganya watu - Viongozi wakuu wa Uchina waliwahi kuitangangazia Dunia kwamba Russia ina uwezo mkubwa sana kijeshi wala hawaitaji msaada wowote kijeshi/silaha kutoka Uchina, msikilizeni kwa umakani Putin aliyo wahi kuyasema - aliwahi kusema Russia itashinda na kutimiza malengo yake ya SMO bila ya kujali itachukua muda gani - lakini baadhi ya mavuvuzela wanatujia na stori za Alinacha eti:putin aliwahi kusema operation hii itakalamilika ndani ya masaa 72 - ulaghai mtupu, ni wapi Putin aliwahi kuitangazia Dunia time frame ya kumaliza vita baina yake na Ukraine - wapi?l

Mzee wa insha huwa unajichosha sana kutetea kisicho, Mchina amejifunza kwenye hivi vita vya Urusi keshaufyata hawezi kufanya ujinga wa kutoa msaada Urusi....
Amepigwa pini tena hawezi hata kujifanya anajikuna....kwanza yeye kule Taiwan keshapigwa mikwara ya kutosha.
 
Kama una nia nzuri ya kujua Putin hayo kayasema lini tafuta mwenyewe kwenye mtandao mradi nimekwisha kupa a clue/lead - lakini kama una lengo la kubishi tu basi hiyo naona hatatafika mbali wakati kila kitu kinapatikana kwenye mtandao.
Mbona hili ni swali la kawaida tu na si ubishi Nimetafuta na nimeona kuwa aliyesema masaa 72 kumbe ni mmarekani Gen MILLEY na si mrusi. Ila nimetumia logic yako kukujibu. Unapomuuliza mtoaji mada ni wapi alitoa source za info zake, swali hilo moja kwa moja linakurudia kwako. Naye vile vile angeweza kukujibu kama ulivyonijibu.
 
Back
Top Bottom