Habali wakuu?
Poleni kwa mishemishe za hapna na pale.Mimi natafuta college za nje ili niweze kuapply sabab binafisi natamani sana kwenda nje hii ni ndoto kubwa ktk maisha yangu ambyo nilijiwekea.
Nimejalibu njia nyingi lkn bado sijafanikiwa nikaona ngoja nijalibu kwa upande wa elimu. Mimi...
Habari waungwana,
Niende moja kwa moja kwenye mada, ni hivi mimi Nina group 0+ lakin wife ana 0- mke wangu alipopata ujauzito niliambiwa ili mtoto wetu aweze kuishi ni lazima achome sindano ya ant-D.
Sindano moja tu inauzwa laki mbili na elfu themanini kwa kipindi hicho na kweli alichoma...
Kwenu wajuvi wa sheria za biashara.
Ninafanya biashara ndogo ya kuuza na kununua simu used, zilizotumika hapahapa jijini Dar almaarufu simu za mkononi..
Changamoto kubwa kama mjuavyo huwa kuna simu za wizi, muuzaji hawezi kukuambia ni wizi na ni vigumu kutambua kwa sababu kiteknolojia hakuna...
Msaada wetu kwa Uturuki umechelewa sana, tunaanza kucheza wakati mziki umeisha!
Sisi hatutakiwi kutoa msaada wa kifedha kwa wale jamaa, bali tulitakiwa kupeleka kikosi cha uokoaji kwenda kusaidia uokozi kwenye majengo yaliyoporomoka na kukalia watu.
Tulikuwa wapi kutoa msaada wa aina hii...
Tanzania yatoa msaada wa Dola za Marekani 1,000,000 kwa Uturuki kufuatia madhara ambayo nchi hiyo inepata kutokana na tetemeko la ardhi lililotokea mwezi Februari mwaka huu.
Hii ni mara ya pili Tanzania kufanya hivyo baada ya majuzi kuwasaidia marafiki zetu wa Malawi [emoji1156] waliokumbwa na...
Tumesikia na kusoma kwenye vyombo vya habari kuwa Tanzania imetoa dola za Kimarekani milioni moja (zaidi ya bilioni 2 na milioni 200) kwa Uturuki iliyopatwa na janga la tetemeko la ardhi mwezi ulliopita.
Yapi Merkezi ni kampuni ya Kituruki inayojenga SGR kutoka Dar hadi Mwanza kwa zaidi ya...
Wadau naomba mwenye access na Mahakama ya mwanzo ya Chamwino anisaidie namba ya mtumishi yeyote pale/namba ya mtu ambaye atasaidia nipate hiyo namba.
Natanguliza Shukrani
Kama kichwa cha habari hapo juu.
Ndugu zangu nimesakinisha Ubuntu 22.04 kwenye HP Elitebook Folio 1040.
Nimefanikiwa mpaka mwisho lakini nikizima kuwasha tena inakataa.
Nimejaribu kupita Google lakini sijaambulia kitu.
Naomba mwenye ufahamu anielekeze namna ya kutatua tatizo hili...
Jengo la abiria Mpanda (pichani) litagharimu bil 1.4 .
Wakati huohuo daraja hili limetafuna bilioni 7 huko Kibiti.
Yaani unahitaji majengo matano ya abiria huko Mpanda kujenga daraja moja Kibiti.
Mainjinia tofauti hii inasababishwa na nini? Au kwa vile Kibiti iko jaribu na Dar? Je wananchi...
Ninaomba msaada wenu wadau, eti mtu ukishateuliwa na Wanafamilia na kuthibitishwa na mahakama kuwa msimamizi wa Mali za marehemu, inachukua muda gani kisheria kukoma katika nafasi husika?
KUZAA MAPEMA SIO KUPATA MSAADA/SULUHU ZA UZEENI
Anaandika Robert Heriel,
Kionambali.
"Nazaa mapema ili nipate wakunisaidia uzeeni"
Hapo ataanza kupiga hesabu, "nikifikisha miaka 35 mtoto atakuwa na miaka 10, nikifikisha 45, mtoto wangu atakuwa na 20, hapo nguvu zitakuwa zinaanza kuyoyoma...
Kuna kozi nataka nisome inayotolewa na Chuo kimoja Cha ujerumani. Sasa wamenielekeza namna ya kulipia ila sijaelewa maana sijawahi Kufanya International transactions. Tafadhali nisaideni. Naambatanisha na screenshot ya maelekezo yao
It has been a long time since nisikie kuhusu kufanya Donation hasa kwa upande wa Chakula, pale hasa nchi jirani zinapopata Majanga.
Nipo nasikiliza Tbc Taifa FM hapa napata habari kuwa Kesho tunaenda kuwapelekea chakula Malawi.
Ahsante Mama kwa Jambo hili.🙏
Salamu wana Jf
Matumaini yangu mama atausoma huu Uzi
Kuna mbunge wa viti Maalumu wa ccm jina kapuni,bungeni ajawahi kutoa hoja za kueleweka,tunaishi nae mtaa mmoja ni mama wa makamo hivi.baada ya kupata ubunge wa kusaidiwa ana dharau Sana hata salamu hatoi tutakutana 2025
Sehemu tulikuwa...
Kwa wale tulio soma diploma miaka miwili yani non NTA levels, na kupata cheti kimoja.
Je, tunaweza kupata msaada NACTE tukarudisha kile cheti tukapewa vyeti viwili kwamaana ya kila mwaka uwe na cheti chake, means tupate cha NTA level 5 na NTA level 6 badala ya cheti kimoja kinachojumuisha...
Naomba msaada wa uelewa kwa wale wanafunzi walio hitimu vyuo vya kati ngazi za diploma na wakawa wamepata vyeti katika mfumo wa NON NTA.
Kwa maana nyingine walio soma certificate mwaka mmoja na kupata cheti kisha wakasoma diploma miaka miwili na wakapata cheti pia kimoja.
Je, watu hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.