Msaada kwa wenye utaalamu na masuala ya dini je ni kweli Quran imeshushwa kutoka mbinguni?

CAPO DELGADO

JF-Expert Member
Aug 31, 2020
7,621
16,700
Heri ya Pasaka?

Heri ya Mfungo kwa WAISLAMU.

Ndugu zangu wataalamu wa Masuala ya Biblia na Quran NAOMBENI MSAADA wa hili swali linalonisumbia Daima?

JE ni KWELI QURAN ilishushwa kutoka MBINGUNI?

1. Inamaana Mungu alitengeneza karatasi.

2. Akatafuta Penny Compyuta printer nk?

3. Mbona ni tofauti sana na KIPINDI Cha Musa Mungu aliandika zile Amri Kumi kwenye mabamba mawili ya mawe na kumpa Musa kwenye Mlima Sinai. (Kutoka 24:12-18) Zile Amri Kumi zimeorodheshwa kwenye Kutoka 20:1-17 na Kumbukumbu la Torati 5:6-21.

4 JE tuna ushahidi Gani kama Quran ilishushwa na Mungu?

Natamani Mjadala Huu tujikite kwenye kujibu hoja sio Dini .

Natanguliza shukrani nyingi.
 
Mungu anatafutwa kwa shida na mashaka sana,
Yaani watu wana-force hata kusadiki!
Kwa sifa za Mungu mwenyewe, yafaa Mungu mwenyewe awasaidie watu, kwa kuwa nia yao ni njema, wanataka kumjua kama walivyofanya Waisrael walipomwambia Mussa wanataka kumwona Mungu wenyewe, wakidai wamechoka habari za kuletewa, wanataka wamwone ili wamtukuze! Cha abau kuna watu wengi wamepoteza maisha yao au wakati wanalazimishwa kusadiki au wakati wa kulazimisha wengine wasadiki.

Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
 
Heri ya Pasaka?

Heri ya Mfungo kwa WAISLAMU.

Ndugu zangu wataalamu wa Masuala ya Biblia na Quran NAOMBENI MSAADA wa hili swali linalonisumbia Daima?

JE ni KWELI QURAN ilishushwa kutoka MBINGUNI?

1. Inamaana Mungu alitengeneza karatasi.

2. Akatafuta Penny Compyuta printer nk?

3. Mbona ni tofauti sana na KIPINDI Cha Musa Mungu aliandika zile Amri Kumi kwenye mabamba mawili ya mawe na kumpa Musa kwenye Mlima Sinai. (Kutoka 24:12-18) Zile Amri Kumi zimeorodheshwa kwenye Kutoka 20:1-17 na Kumbukumbu la Torati 5:6-21.

4 JE tuna ushahidi Gani kama Quran ilishushwa na Mungu?

Natamani Mjadala Huu tujikite kwenye kujibu hoja sio Dini .

Natanguliza shukrani nyingi.
Kushushwa kwa namna gani.. ulipopata hizo habari unaweza kupata jibu la maswali yako.
 
Jana nilitembelea danguro maarufu la buguruni madenge. Nimekutana na kadada flani hiv kamejaa jaa hivi kishundu flani hivi na guu la bia. Nikazama ndani, cha ajabu nimekutana na papucho moja ya kwenda. Papucho Pana kama kidoo na mm nilivyokuwa mzee wa kupanga mbona palichimbika jasho mpaka kwenye jinzi chapa.
ujumbe : tusiache kutumia Mkongo na mchuzi wa pweza
 
Heri ya Pasaka?

Heri ya Mfungo kwa WAISLAMU.

Ndugu zangu wataalamu wa Masuala ya Biblia na Quran NAOMBENI MSAADA wa hili swali linalonisumbia Daima?

JE ni KWELI QURAN ilishushwa kutoka MBINGUNI?

1. Inamaana Mungu alitengeneza karatasi.

2. Akatafuta Penny Compyuta printer nk?

3. Mbona ni tofauti sana na KIPINDI Cha Musa Mungu aliandika zile Amri Kumi kwenye mabamba mawili ya mawe na kumpa Musa kwenye Mlima Sinai. (Kutoka 24:12-18) Zile Amri Kumi zimeorodheshwa kwenye Kutoka 20:1-17 na Kumbukumbu la Torati 5:6-21.

4 JE tuna ushahidi Gani kama Quran ilishushwa na Mungu?

Natamani Mjadala Huu tujikite kwenye kujibu hoja sio Dini .

Natanguliza shukrani nyingi.
Huyo sterling mwenyewe Picha tu linaanza unaambiwa alizaliwa akiwa na jando tayari, hakuwa na kimvuli cha juwa wala mbalamwezi na alikuwa anaona upande zote bila kugeuka, na akilala fofo usingizini anawasikia story zenu zote mnazopiga.

Sasa hilo la kushushiwa Quran mbona Dogo, kwakweli hawa jamaa wa middle east wametuweza.
 
Heri ya Pasaka?

Heri ya Mfungo kwa WAISLAMU.

Ndugu zangu wataalamu wa Masuala ya Biblia na Quran NAOMBENI MSAADA wa hili swali linalonisumbia Daima?

JE ni KWELI QURAN ilishushwa kutoka MBINGUNI?

1. Inamaana Mungu alitengeneza karatasi.

2. Akatafuta Penny Compyuta printer nk?

3. Mbona ni tofauti sana na KIPINDI Cha Musa Mungu aliandika zile Amri Kumi kwenye mabamba mawili ya mawe na kumpa Musa kwenye Mlima Sinai. (Kutoka 24:12-18) Zile Amri Kumi zimeorodheshwa kwenye Kutoka 20:1-17 na Kumbukumbu la Torati 5:6-21.

4 JE tuna ushahidi Gani kama Quran ilishushwa na Mungu?

Natamani Mjadala Huu tujikite kwenye kujibu hoja sio Dini .

Natanguliza shukrani nyingi.
Una akili fupi wewe
 
Tunapoelekea mwisho, ukweli unazidi kuwa bayana. Ona huyu Sheikh Imran Hosein alivyouonya Umma wa Kislam ambao kwa miaka mingi walipotosha Quran 4:157 wakisema kuwa Yesu hakusurubiwa, Wala hakuna, Wala hakufufuka badala yake Mungu alimuweka kwa Muujiza Yuda!! Shekh ameanza kwa kutoa tafsiri ya kusurubiwa, akaja tafsiri ya kifo na hatimaye aka conclude kuwa Mungu aliitoa Roho ya Yesu akiwa kwenye MTI wa Mateso na baada ya kumuweka KABURINI akamrudishia ROHO yake. Ndyo maana Qur'an 4:157 ikasema hakufa. Lakini hilo fundisho lao la kubadilishiwa YUDA haliko kwenye Quran
 
Sasa kama umetoa ushahidi juu ya Mwenyezi mungu kuweza kuyaandika mawe na kumkabidhi nabii Mussa, unashangaa nini juu ya Quran tukufu kushushwa?

Sijashangaa Member nimeuliza, Hilo ni swali????

Nauliza JE ilishushwaje???
Ilichapwaje??
Coverage ilipatikanaje????.
Printer nk......

Ungejibu hoja ingependeza zaidi
 
Mkristo anawezakuwa Phd holder lakini linapokuja suala la dini anakuwa mpuuzi wa kureasoning zaidi ya mwehu.

Niliomba kutotumia Matusi na Lugha za kuudhi...

Ingependeza ungejibu hoja kuliko ku shambulia UKRISTO...

Sijajua hata kama unajua maana ya UKRISTO au unatamka Neno tu!!!!
 
Back
Top Bottom