Naomba maana ya usemi "Ng'ombe hawezi kuona umuhimu wa mkia mpaka ukatike." Na je, kuna uhusiano na jamii yetu?

Kyambamasimbi

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
570
1,228
Habari wajukwaa, nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kama kichwChcha uzi kinavyoeleza hivi maana ya usemi huo hapo juu una maana gani? Na je, kuna uhusiano na maisha yetu ya Kila siku?

Nimekua nikiusikia watu wengi wakiutumia kwa mazoea pasina kujua maana maana halisi.

Aidha nimejaribu kuwauliza maana ya usemi huo wanasema hawajui.

Naomba msaada wa kujua maana na uhusiano wake hapa nchini kwetu.
 
Back
Top Bottom