Njiwadume
Senior Member
- Jun 13, 2020
- 137
- 342
Wakuu habari zenu, naomba msaada, ni kuhusu tatizo alilonalo mke wangu.
Ana ujauzito wa takribani wiki 7 tatizo lake nikwamba anusumbuliwa na tumbo sana eneo la kuzunguka kitovu, hata baada ya kula kidogo tu anahisi maumivu ya tumbo sana, tatizo hili liliwahi kutokea na kupelekea ujauzito kuharibika na sasa limeanza mapema tu baada kupata ujauzito hadi napata hofu.
Nilipompeleka hospitali nilijibiwa kuwa ni dalili za kawaida kwa mjamzito na anapaswa kupunguza kazi ngumu na apate muda wa kutosha kupumzika, lakini anaweza kuwa amejilaza siku nzima lakini tumbo likaanza kumsumbua hadi analia sana.
Naomba kwa anaefahamu tatizo hili anisaidie tafadhali.