Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,211
- 1,185
Habari wana JamiiForums,
Hivi majuzi account yangu ya Gmail ilifanya malipo kwenye airtel money kupitia google Play kwa app ambauo niliidownload playstore ambayo sikuwa awareness na kuchukua kiasi kikubwa cha fedha.
Niliwasiliana na networ provider yangu nikaambiwa niwasiliane na google play kupitia google play refund ili niweze kurudishiwa pesa zangu lakini bado sijapata mrejesho maana wanadai pesa inaweza kurudishwa ukitoa sabau mapema urudishiwe.
Naomba msaada njia nyingine ya ku REFUND pesa ili iweze kunirudia.