Ninahitaji ushauri na muongozo wa kisheria, ninakabiliwa na kesi ya kutengenezewa

Jimmie-19

New Member
Mar 20, 2019
1
1
Habari za leo ndugu zangu,

Ninahitaji msaada wa ushauri na muongozo wa kujitetea ninakabiliwa na kesi ya kutengenezewa na inaaminika kama nimempiga ex wangu ambae na mtoto nae mmoja.

Mwanamke amenifanyia vituko zaidi ya vituko na sasa nimeshakuwa mahakamani mara mbili tunaenda mara ya tatu.

Kutokana na hali ilivyo siruhusiwi hata kumuona mtoto. Ninaomba ushari na mchango wa kujitetea kesi ni baada ya week mbili.

Tafadhali ninaomba mchango wa juu ili kujua stori kamili tunaweza kuwasiliana. Kesi ipo nje ya nchi sio Tanzania.
 
Mwambie athibitishe kupigwa kwake na madhara ya kupigwa kwake kwenye yaliyothibitika kwa PF3 na daktari siku ya tukio... akiwa hana... kila mtu si anaweza akamsingizia yeyote kuwa amepigwa... si tutakuwa tunaleta mchezo mahakamani...
 
Habari za leo ndugu zangu,

Ninahitaji msaada wa ushauri na muongozo wa kujitetea ninakabiliwa na kesi ya kutengenezewa na inaaminika kama nimempiga ex wangu ambae na mtoto nae mmoja.

Mwanamke amenifanyia vituko zaidi ya vituko na sasa nimeshakuwa mahakamani mara mbili tunaenda mara ya tatu.

Kutokana na hali ilivyo siruhusiwi hata kumuona mtoto. Ninaomba ushari na mchango wa kujitetea kesi ni baada ya week mbili.

Tafadhali ninaomba mchango wa juu ili kujua stori kamili tunaweza kuwasiliana. Kesi ipo nje ya nchi sio Tanzania.
Unasema kesi haipo Tanzania, wewe uko wapi? Wakati tukio linatokea ulikuwa wapi?
 
Mwambie athibitishe kupigwa kwake na madhara ya kupigwa kwake kwenye yaliyothibitika kwa pf3 na daktar siku ya tukio...akiwa hana ..kila mtu si anaweza akamsingizia yeyote kuwa amepigwa....si tutakuwa tunaleta mchezo mahakamni...
Kabla ya yote hayo,ahakikishe kwanza ana vibali vyote sahihi vya kuishi Nchi hiyo kama mgeni, and then ndiyo aanze kuendesha kesi za domestic violence!!
 
Back
Top Bottom