msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada: Mwenye namba za Ofisi ya Speedaf Express

    Wakuu habari zenu, Naomba mwenye namba ya Speedaf express ya Tanzania anisaidie maana kuna mzigo wangu sijaupata nataka kuwauliza kama uko ofisini kwao. Natanguliza shukrani.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Lodge nzuri maeneo ya Mwenge

    Wakuu, nahitaji lodge nzuri maeneo ya Mwenge na makumbusho, Dar es salaam. Bajeti yangu ni Tsh. 20,000 hadi 25,000.
  3. JamiiForums Tanzania Mwendokasi Mbagala inaanza lini?

    Kwa wakazi wa Mbagala au wanaojua zaidi kuhusu kukamilika mpaka kuzinduliwa kwa mwendokasi ya Mbagala naomba anijuze. Coz kuna biashara nlitaka nijaribu kuibuni kwa huko mbagala ila inategemea zaidi kukamilika kwa mwendokasi. Kuna wakati nliskia mwezi wa nne itakuwa tayari saiz nliskia et ni...
  4. F

    JamiiForums Tanzania SoC03 Jinsi ya kuwa na Elimu yenye mafanikio kwa nchi ya Tanzania

    Elimu ni nini? Ni ujuzi ambao kitu chochote au mtu yeyote mwenye ufahamu anaupata ambao atamsaidia katika maisha yake ya kila siku. Unapopata ujuzi katika maisha ni moja ya njia ya kujikomboa na kujua nini kifanyike katika mazingira yanayokuzunguka. Ukiwa na ujuzi wa elimu mbalimbali hapa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Written interview questions za utumishi

    Naomba msaada ni maswali gani ya usali ya utumishi ya written yanatoka kwenye kada ya mwandishi wa taarifa rasmi za bunge
  6. JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta Ajira Dar es Salaam

    Habari wanajamii, Mimi ni kijana mwenye shahada ya uhandisi mitambo (Bsc in Mechanical Engineering) naishi Dsm. Jinsia ME, Kwasasa sina kazi yoyote, hivyo kama kijana mwenzenu nnaetafuta kujikwamua kimaisha naombeni msaada wenu niweze kupata kazi yoyote ya halali kwa maana hali imekuwa ngumu...
  7. JamiiForums Tanzania Nawezaje kusahau mahusiano yangu ya nyuma

    Nahitaji kusahau moment zote za nyuma, nifanyaje niweze kusahau kila kitu kuhusu mahusiano ya nyuma (ndoa)?
  8. W

    JamiiForums Tanzania Nimemuota Kapeace, naomba msaada!

    Imetokea usiku wa kuamkia leo hiyo kitu, tena mara kadhaa. Kila nikilala kidogo namuona kapeace amefika tunazungumza, nikiamka hayupo! Nimeamka tangu saa kumi na moja kutafakari hili. Nimemfuata dm tushirikiane kuitafsiri ndoto kwa amani na upendo wa hali ya juu, amenikaushia tu au haijafika...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada: Kozi gani nzuri ya kusomea Wizara ya Utalii/ Maliasili

    Hello jF, Mdogo wangu amemaliza shule form four amefaulu vizuri. Hataki kwenda advance ila anataka asomee course/diploma inayohusiana na mambo ya utalii/maliasili mfano chuo. Cha Mweka Kilimanjaro. Naombeni msaada Ni Kozi gani nzuri zenye future katika hii sekta?
  10. JamiiForums Tanzania Unaweza kujisajili kufanya mtihani wa kidato cha sita huku unatafuta credit moja ya O-level?

    Wadau naomba kuuliza. Unaweza kujisajili PC ya five na six kwa mwaka mmoja na wakati huo huo umejisajili kutafuta credit ya physics? Olevel?
  11. JamiiForums Tanzania Msaada: Hp Folio 1040 mouse touch inajibonyeza yenyewe

    Habari wakuu, Laptop tajwa hapo juu inasumbua sana kwenye upande wa Mouse yake yaani inajibonyeza yenyewe pale ambapo unaigusa ili kwenda kubonyeza sehemu fulani uliyoikusudia. Unapojaribu kusogeza kila inapokutana na chochote hapo kati inafungua au kufunga. Nimejaribu ku Update drivers...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada wa Kazi/Ajira

    Habari Wapendwa, Nitangulize Shukrani kwenu kwa kuamini Busara na uelevu wenu wa kuchanganua na kusaidia Mambo mbalimbali. Hivyo naomba Mnisaidie. Naitwa "Chilala Mlaponi" naishi Dar es salaam, Ombi kubwa kwa Yeyote atakaeweza kunisaidia Upatikanaji wa Kazi. Ninauzoefu katika nafasi...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani: jinsi ya kupokea hela kutoka nepal kuja bongo

    Nina ndugu yangu yuko nepal, sasa western Union ya nepal hairushi hela toka huko kuja Tanzania, je bank to bank itafaa, au kuna international agency ingine ipo..wenye uzoefu wanisaidie
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msaada- Import duty Uganda na Tanzania

    Habari wakuu, Kuna rafiki yangu anataka kununua tani 100 za maharage toka Uganda. Naomba kujua kama kuna tax duties yeyote ambayo atalipa. Pia, kama ipo, naomba kujua ni asilimia ngapi ya gharama ya mzigo. Natanguliza shukrani zangu kwa wote ambao mtatumia mda wenu kunisaidia. Asante.
  15. JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali

    Ndugu zangu kwema, Nilikuwa naomba msaada tafadhali, maana hili jambo linaniumiza kichwa sana leo. Kati ya uzi hizi mbili kesho nivae ipi jamani? Maana hapa nilipo nimepatwa na mkanganyiko sijui nivae ipi. Naombeni msaada tafadhali.
  16. JamiiForums Tanzania Nimeshikana na mgonjwa wa hepatitis sas nifanye?

    Nimeshikana na mgonjwa wa hepatitis sasa nifanye nini wakuu sielewi sehemu ya kuanza nahitaji muongozo
  17. JamiiForums Tanzania Tuwe sehemu ya Msaada kwa Walemavu wa Macho (Vipofu) hasa Vituoni na Barabarani kwani hata Wewe ni Kipofu Mtarajiwa

    GENTAMYCINE huwa Nakereka mno kuona Mlemavu wa Macho Kipofu (tena yuko na Fimbo yake) anaomba Msaada wa ama Kupandishwa katika Dala Dala au Kumvusha Barabara au kutaka Kukaa mahala kisha unawaona Watu wanamkwepa au kujifanya hawamuoni. Waswahili tuna Roho Mbaya mno halafu ni Wanafiki sana japo...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria katika hili jambo

    Habari za muda wana JF. Naomba nijikite kwenye mada moja kwa moja. Jana watoto wa kakaangu walikuwa wanachunga ng'ombe huko kijijini kwetu.sasa kuna wanafunzi wawili wakawa wanarudi nyumbani kutoka shuleni. Wale watoto wa kaka wakaanza kuwafukuza.(umri wa wale watoto wa kaka ni miaka 12 na...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada: Hili ni tatizo gani?

    Habari Madaktari na wanadau wengine huku ndani. Kama wahenge wasemavyo "Mficha maradhi Kifo Humuumbua" nipo njiani narudi tena hospital kuonana na daktari kufanya uchunguzi na kupata matibabu lakini ningependa kuwashirikisha na naomba msaada wenu juu ya tatizo langu. Siku ya Jumapili nilianza...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wa utambuzi wa kitabu kutoka kwa java developer

    Kwa mtu aliesoma kitabu hicho chini naomba title. Nimekiokota mtandaoni chapter moja tu, hakina title book. Nimevutiwa nacho ninahitaji title na mwaandishi ili niweze kukidownload. Thanks
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…