Nimechaguliwa PCM Bwiru Boys; Je, ni shule nzuri?

brave Mwafrika

JF-Expert Member
May 2, 2019
213
109
Mimi naishi Mwanza, na ni mwanafunzi niliye maliza kidato cha nne mwaka Jana na nimebahatika kuchaguliwa kwenda A-level (Bwiru Boys Secondary School) katika mchepuo wa PCM.

Nilikuwa naomba kujua ubora wa shule hiyo na uwezo wake katika ufundishaji hili mdogo wenu niweze kupata elimu nzuri itakayo nisaidia hapo baadae.

Naombeni wakubwa zangu mseme kitu juu ya hilo?
 
Kwa shule za serikali au advance ki ujumla hasa hizi science comb (PCM, PCB & PGM) zinahitaji uwezo na jitihada binafsi.

Ukienda kule ukazubaa na one ya O-Level things change kule. Kuitafuta 4,3 au 0 ni chapu kwa haraka.

Shule yoyote ni nzuri ila jitihada binafsi ni muhimu KAZA. Ila soma kwa target andaa akili yako kusoma science mambo mengi, magumu pia muda ni mchache.
 
Kwa shule za serikali au advance ki ujumla hasa hizi science comb (PCM,PCB&PGM) zinahitaji uwezo na jitihada binafsi.
Ukienda kule ukazubaa na one ya o -level things change kule. Kuitafuta 4,3 au 0 ni chapu kwa haraka
Shule yoyote ni nzuri ila jitihada binafsi ni muhimu KAZA. Ila soma kwa target andaa akili yako kusoma science mambo mengi ,magumu pia muda ni mchache
#ingawaje juhudi binafsi ndo zinamfaulisha mwanafunzi, lakini shule pia inachangia sana ikiwemo walimu wenye weledi na uongozi pia, ndo maana nikauliza hili kuweza kujua.
Sijapinga ulicho ongea Ila nimejaribu kuongezea tu
 
#vipi kuhusu weledi wa walimu katika ufundishaji, unaweza kumferisha au kumfaulisha mwanafunzi pia.
Shule za government nyingi walimu wa science ni Tatizo, waliopo wanafanya kazi bora liende. Ingawa sisemi zote ila.

Tofauti na shule za private, ambazo walimu wanakua monitored kwakua ile ni biashara.

Kikubwa:
1. Fanya discussion sana na wenzio. Atleast kila siku ufanye discussion.

2. Achana na vitu kama smartphone, mikumbo ya ajabu, kwenda town bila sababu, etc.

3. Udhuria vipindi vingi as possible. Jifunze sana practical za Physics na Chemistry.

4. Watu wa PCM wanakazaga sana kwenye Mathe na Phys wanasahau Chemistry wanaiona kama sio mambo yao ya kukariri mafomula ya Organic.

5. Ukirudi likizo tafuta Centre za tution nzuri. Sio zenye mademu wakali ila zenye walimu wazuri.

6. Kula ugali wa shule na maharage. Uteseke. Ukija Chuo utakula bata.

7. Na Mwisho, usishoboke na mademu wa mtaani. Bora nyeto.

All the Best Champion.
 
Hahaha nyeto tena
 
Shule ya A-level (PCM, PCB) unaweza kuwa na akili na bado ukafeli.

Ushauri.
1. Hakikisha unajua nini unatakiwa usome (angalia syllabus), hakikisha ume soma kila kitu kabla ya mtihani wa mwisho.

2. Usitegemee makubwa kutoka kwa walimu, tuition na kujisomea mwenyewe plus discussion na wenzako.

3. Ukawe na nidhamu shuleni, adhabu zitakupotezea muda na kukuondoa kwenye reli.

4. Jipime kwa kutumia mitihani ya taifa iliyopita, ukiona unachungulia 'solution' ujue bado haujaiva, komaa zaidi.

5. Jitahidi usome kuelewa na sio kukariri, ikishindikana kabisaa ndio uishie kukariri.

6. Adv. Maths haiwezi kukuangusha, kama unajua unajua tu, hakuna mawaa.

7. Pata muda wa kupumzika (lala, sio unadanganywa unaanza kukesha alafu mchana darasani unaishia kusinzia)

8. Kama ni mtu wa dini basi walau mara moja kwa mwezi kachungulie kwenye nyumba ya ibada, Mungu ana nafasi yake. Ila usizidishe ukaanza kukesha usiku sijui unakemea mapepo, mapepo hayana time na wewe.

9. Achana na mapenzi, mapenzi ni project kama zilivyo project nyingine. Yanahitaji rasilimali muda, akili na fedha, hivyo vitu wewe hauna vya kuchezea kwa hiyo miaka miwili.

Zaidi ya yote, hongera sana. Hapo ulipofika sio hatua ndogo.
 
#ingawaje juhudi binafsi ndo zinamfaulisha mwanafunzi, lakini shule pia inachangia sana ikiwemo walimu wenye weledi na uongozi pia, ndo maana nikauliza hili kuweza kujua.
Sijapinga ulicho ongea Ila nimejaribu kuongezea tu
Walimu wengi wa advance hasa science they teach like uko chuo and shule nyng za advance over 90% zipo free sana ko ni uwezo wa akili Ku master mazingira
Example advance nlyosoma mm INA comb 2 PCM &PCB Lkn the school is extremely free teacher hawana habari ya kumfuatilia advance yyte yule,but watu wanakaa kwao wanapiga mapindi huko sinza ,mchikichini wanakuja kupiga tu paper school au mnaji organize kulipa mwalimu flan kipanga aje awape madesa
All in all usitegemee uongozi au usimamamizi wa walimu na shule tegemea uelewa,kujitambua kwako na jitihada basi.
Usimamizi waachie
(H kunani.....Combinations)
 
Shule ya A-level (PCM, PCB) unaweza kuwa na akili na bado ukafeli.

Ushauri.
1. Hakikisha unajua nini unatakiwa usome (angalia syllabus), hakikisha ume soma kila kitu kabla ya mtihani wa mwisho.

2. Usitegemee makubwa kutoka kwa walimu, tuition na kujisomea mwenyewe plus discussion na wenzako.

3. Ukawe na nidhamu shuleni, adhabu zitakupotezea muda na kukuondoa kwenye reli.

4. Jipime kwa kutumia mitihani ya taifa iliyopita, ukiona unachungulia 'solution' ujue bado haujaiva, komaa zaidi.

5. Jitahidi usome kuelewa na sio kukariri, ikishindikana kabisaa ndio uishie kukariri.

6. Adv. Maths haiwezi kukuangusha, kama unajua unajua tu, hakuna mawaa.

7. Pata muda wa kupumzika (lala, sio unadanganywa unaanza kukesha alafu mchana darasani unaishia kusinzia)

8. Kama ni mtu wa dini basi walau mara moja kwa mwezi kachungulie kwenye nyumba ya ibada, Mungu ana nafasi yake. Ila usizidishe ukaanza kukesha usiku sijui unakemea mapepo, mapepo hayana time na wewe.

9. Achana na mapenzi, mapenzi ni project kama zilivyo project nyingine. Yanahitaji rasilimali muda, akili na fedha, hivyo vitu wewe hauna vya kuchezea kwa hiyo miaka miwili.

Zaidi ya yote, hongera sana. Hapo ulipofika sio hatua ndogo.
Sure PCM &PCB Znapoteza sana 1&2 za o level,wenye jitihada tu ndio watafaulu wenye akili mingi bila effort tunawazikia diploma
 
Tulishasema A-Level ni wastage of time. Nenda chuo pale DIT.
Jamani embu elezea vizuri maana nineshìndwa kutoa ushauri wa mtoto wa mdogo wangu.

Yeye matokea yake alipata Ana B tu cha ajabu ati kachaguliwa CBG li shule liko huko pwani.
Hii CBG atakuwa nani?
Wazazi wamekataa nasikia wanataka aende chuo.
Naomba.kujua ni faida gani za kwenda chuo na sio kwenda f5?

Plz yeyote mwenye uelewa aseme chochote.
 
wazazi wake wanaakili sana taifa linahitaji wazazi kama hao ili idadi ya vijana wasio na ujuzi wa taaluma walizosomea wapungue mtaani
 
Jamani embu elezea vizuri maana nineshìndwa kutoa ushauri wa mtoto wa mdogo wangu.

Yeye matokea yake alipata Ana B tu cha ajabu ati kachaguliwa CBG li shule liko huko pwani.
Hii CBG atakuwa nani?
Wazazi wamekataa nasikia wanataka aende chuo.
Naomba.kujua ni faida gani za kwenda chuo na sio kwenda f5?

Plz yeyote mwenye uelewa aseme chochote.
Kusoma CBG kuna courses nyng sana za kusoma atapofikia level ya chuo kulingana na requirements za course husika pamoja na masomo aliyochukua advance.
But hili LA kwenda chuo badala ya advance naunga mkono hoja

1.it's better aende chuo kule atapata skills za professional atakayokua amesomea,

2.Inaepusha risk ya kufeli coz government schools hasa science they are too poor in deliverance of materials

3. Akimalza diploma ana uwezo wa kuendelea na bachelor degree tena hata kwa course zaidi ya tatu tofaut na ile aliyosomea diploma ikampa nafasi ya kua na vyet viwili vya taaluma
4.After finishing the college he/she can employ his/herself accordingly to knowledge and life experience obtained from college
 
Back
Top Bottom