NAOMBENI MSAADA NDUGU ZANGU KWA WENYE UZOEFU NA UELEWA JUU YA HILI.

brave Mwafrika

JF-Expert Member
May 2, 2019
213
109
#mimi ni mwanafunzi niliye maliza kidato cha nne mwaka Jana na nimebahatika kuchaguliwa kwenda A-level( Bwiru Boys Secondary School) katika mchepuo wa PCM.
Nilikuwa naomba kujua ubora wa shule hiyo na uwezo wake katika ufundishaji hili mdogo wenu niweze kupata elimu nzuri itakayo nisaidia hapo baadae.
Naombeni wakubwa zangu mseme kitu juu ya hilo??
 
A-Level Shule za serikali zote nzuri.
 
Back
Top Bottom